GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Abdi Banda, Mambosasa, Michael Paul, Christopher Alex Masawe, kwa viongozi ni Hasanoo, Haji Manara, Wambura, Rage, Kaburu na Aveva hao wote wameshalala Sero na wengine kufungwa kabisa, ukinitajia idadi hiyo hiyo Yanga ya wachezaji na viongozi najitoa Jf
Hao wote uliowataja karibia 99.9999% ya Kesi zao zilikuwa za Kusingiziwa / Kubambikiwa na ndiyo maana baadae wakatoka na sasa tunao mitaani. Halafu huu uzi haujaja ili tuanze kuwasema Viongozi wetu Wakuu wa hivi Vilabu vyetu bali ni maalum kwa huyo Mchezaji wenu wa ' hovyo hovyo ' kwa kumpiga Ngumi Mwandishi wa Habari sawa?
Ukitaka na Mimi pia nitiririke na niserereke na madhambi yaliyoshindikana na Viongozi wako wa Yanga SC naweza vile vile na humu patakuwa hapatoshi. au unabisha nianze kufunguka hapa hapa nikianzia na huyu ' Kubwa Lao ' mwenye msumari na bati moyoni?