Mchezaji wa zamani timu ya ARSENAL na taifa la UFARANSA PATRIC VIEIRA asilimu na kuwa muislami...... TAKBIRRRR

hata mimi ntakuja kusilimu ili tu nioe wake wa 4

kila mmoja ana sababu yake ya kusilimu yaweza kuwa mapenzi, ahadi ya vinono, wake wa 4, kumiliki mali na mengineyo
Angalia usije ukamuoa dadaako kwa tamaa
 
Watu mnapenda kujaza server za JamiiForums tu hapa bila sababu za msingi,hata wakibadilisha wanakupunguzia nini wewe Mkristo ktk maisha yako ya kiimani!?

Hao wanaobadilisha hizo dini kuna hata siku moja wameonekana wakiingia Kanisani kuabudu au mnafuata spelling za majina?au hata ithibitishwe kwamba wamewahi kubatizwa maana kuwa Mkristo hujabatizwa wewe siyo Mkristo labda uhisiwe tu kwa jina lako.

Ukristo ni zaidi ya udhaniwavyo msijazane upepo wewe shika ulichokiamini coz hayo macho ya nyama ukiyafunga kitakachofuata ni wewe kwenda kuonana uso kwa macho na Mungu na ktk mambo utakayoulizwa sidhani kama haya mnayobishana hapa yatakuwepo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…