Mchezaji wa zamani timu ya ARSENAL na taifa la UFARANSA PATRIC VIEIRA asilimu na kuwa muislami...... TAKBIRRRR

Watu mnapenda kujaza server za JamiiForums tu hapa bila sababu za msingi,hata wakibadilisha wanakupunguzia nini wewe Mkristo ktk maisha yako ya kiimani!?

Hao wanaobadilisha hizo dini kuna hata siku moja wameonekana wakiingia Kanisani kuabudu au mnafuata spelling za majina?au hata ithibitishwe kwamba wamewahi kubatizwa maana kuwa Mkristo hujabatizwa wewe siyo Mkristo labda uhisiwe tu kwa jina lako.

Ukristo ni zaidi ya udhaniwavyo msijazane upepo wewe shika ulichokiamini coz hayo macho ya nyama ukiyafunga kitakachofuata ni wewe kwenda kuonana uso kwa macho na Mungu na ktk mambo utakayoulizwa sidhani kama haya mnayobishana hapa yatakuwepo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Tunawasifu wanaoiona Nuru ya Uislam kutoka kwenye kiza kinene ambacho hata maaskofu na mapadri walawitiwa wanawarubuni waziwazi kama kondoo. Ohoo kumbe ni kondoo kweli!
 
Tatizo lako unazeeka vibaya unataka mabishano ya kishamba na ya kipumbavu na unaona hapa wote tuna akili kama wale wajinga wenzio uliowaanzishia uzi wakutongozee humo!!!

Ulichokijibu hapo sioni content yoyote kuhusiana na nilichokiandika hapo,unazungumzia sana huu ujinga wa ulawiti unajisahaulisha jinsi walimu wa madrasa wanavyowafanya watoto wadogo.
8dde29084fb5030708e4a2c01833e4e5.jpg

Nimekuwekea hiyo ili ujue hata wewe siyo msafi kama unavyofikiri ni unanuka ukichanganya na akili zako mbovu unazoonyesha humu unakuwa kinyaa ktk jamii ilostaarabika.ukinikoti tena kwa jinsi ninavyojiheshimu nami sitaku-quote sina muda wa kubishana na wendawazimu mimi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kama mbinguni tutaulizwa dini zetu badala ya matendo yetu basi itakuwa burudani sana.
 
Tatizo lako unazeeka vibaya unataka mabishano ya kishamba na ya kipumbavu na unaona hapa wote tuna akili kama wale wajinga wenzio uliowaanzishia uzi wakutongozee humo!!!

Ulichokijibu hapo sioni content yoyote kuhusiana na nilichokiandika hapo,unazungumzia sana huu ujinga wa ulawiti unajisahaulisha jinsi walimu wa madrasa wanavyowafanya watoto wadogo.
8dde29084fb5030708e4a2c01833e4e5.jpg

Nimekuwekea hiyo ili ujue hata wewe siyo msafi kama unavyofikiri ni unanuka ukichanganya na akili zako mbovu unazoonyesha humu unakuwa kinyaa ktk jamii ilostaarabika.ukinikoti tena kwa jinsi ninavyojiheshimu nami sitaku-quote sina muda wa kubishana na wendawazimu mimi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Huyo hukumu yake kifo.
 
Write your reply...karne hii bado kuna wajinga wanaoleta habari bila uthibitisho?? dawa ni kupuuzia. mmojawapo ni mleta Mada.
 
Back
Top Bottom