Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Basi msiwashauri wachezaji kuweka mataulo ndani ya goli. Otherwise uache ubishi kama hujui vituSheria ipi kwenye 17 za mpira zinakataza ?Kuamini kwamba taulo linazuia goli ni ujinga wa hali juu.
Kutoka jasho kwa namna yoyote haku husiani na uwepo wa taulo, mchezo wowote unao tumia nguvu lazima utoke jasho.Kuna magolikipa wanatumia kujifuta jasho na kufuta glovu zao.Kuna watu wanatoka sana jasho mikononi na usoni.Ingekuwa inakatazwa marefa wasingekubali kuwepo na taulo.
Na kuamini kwamba taulo linazuia goli kuingia ni ujinga wa kiwango cha juu.
Mimi si Boya ila ninachokueleza ndio ukweli na uhalisia wa taratibu za mpira wa miguu.Boya kweli wewe ushabiki maandazi tu!
Utopolo majini bwana hawajui chochote duniani zaidi ya kufuga majiniNdugu mbumbumbu katika mpira wa miguu haitakiwi pale golini au kwenye nyavu za goli kuwekwa kitu chochote, ata chupa ya maji aihitajiki ndani ya goli labda uweke nje ya eneo la kuchezea.
Alichofanya kibwana shomari kilitakiwa kifanywe na refa.
Kazi ya taulo ni kipindi kama Kuna mvua au manyunyu kufuta maji kwenye groves za kipa au matope.
Sasa jua linawaka, hakuna mvua mataulo ya Nini?
Kuning'iniza kwenye nyavu ndio kulipigwa marufuku 2012 lakini sio pembeni ya mlingoti wa goli.Kutoka jasho kwa namna yoyote haku husiani na uwepo wa taulo, mchezo wowote unao tumia nguvu lazima utoke jasho.
Kipa kutoka jasho mikononi ndio maana ana Vaa gloves, taulo au kitu chochote haitakiwi ndani ya goli au ku ning'iniza kwenye net. Taulo halikatazwi ila usiliweke golini / eneo la kuchezea au kwenye net.
Pembeni wapi, Taulo halitakiwi ndani ya nyavu Wala sehemu yoyote inayo husisha sehemu ya kuchezea Wala kuli ning'iniza nyavuni.Kuning'iniza kwenye nyavu ndio kulipigwa marufuku 2012 lakini sio pembeni ya mlingoti wa goli.
Weka kanuni sio unavyopenda wewe.
Kubisha kwa minajili ya kubisha.Kanuni ipi inakataza huku tusitumie na wa magharibi watumie ndio swali langu.Pembeni wapi, Taulo halitakiwi ndani ya nyavu Wala sehemu yoyote inayo husisha sehemu ya kuchezea Wala kuli ning'iniza nyavuni.
Wenzetu wa Magharibi kwakua haliya hewa ni unyevu na mvua taulo linatumika marakwamara kufutia maji na matope ila uku kwetu ata wakati wa kiangazi makipa Wana beba taulo.
Uchawi ni uchawi tu ukifanywa na refactoring au mchezaji ni uchawi tuNdugu mbumbumbu katika mpira wa miguu haitakiwi pale golini au kwenye nyavu za goli kuwekwa kitu chochote, ata chupa ya maji aihitajiki ndani ya goli labda uweke nje ya eneo la kuchezea.
Alichofanya kibwana shomari kilitakiwa kifanywe na refa.
Kazi ya taulo ni kipindi kama Kuna mvua au manyunyu kufuta maji kwenye groves za kipa au matope.
Sasa jua linawaka, hakuna mvua mataulo ya Nini?
Kwa hiyo wale wachezaji walioadhibiwa kwa kutoa taulo waliadhibiwa kwanini?Mpira wa extra hauruhisiwi uwanjani kwa sababu utaleta mkanganyiko.Taulo inaruhusiwa ndio maana waamuzi hawayatoi.Jibu hoja kwa hoja sio upumbavu w kuitana majina.Ndugu mbumbumbu hakuna Sheria yoyote katika Sheria 17 za soccer inayo mzungumzia taulo, ila kilichopo hairuhusiwi kitu chochote ata mpira wa ziada kuwepo ndani ya goli Achana na chupa ya maji au taulo.
Sheria za soccer ni 17 tu ila Kuna vitu vingi katika soccer ambavyo havijaingizwa katika Sheria ila ni kanuni na common sense.
Wachawi ni wale wanao tambuliwa Tff na CAF, Wachawi ni wale ambao mpaka Sasa zimeshafika klabu 6 zilizotuma malalamiko pale CAF kutoka nchi tofauti Afrika zilizo lalamikia Simba na ushirikina katika mechi za vilabu Africa zilizo chezea DAR.Yanga wachawi sana
Baki na uwelewa wako kama mtafiti Rage alishathibitisha sisi tuliobaki ni kuomba ujenzi wa mnara wake uharakishwe.Kwa hiyo wale wachezaji walioadhibiwa kwa kutoa taulo waliadhibiwa kwanini?Mpira wa extra hauruhisiwi uwanjani kwa sababu utaleta mkanganyiko.Taulo inaruhusiwa ndio maana waamuzi hawayatoi.
Wisdom is chasing you but you are always faster.Baki na uwelewa wako kama mtafiti Rage alishathibitisha sisi tuliobaki ni kuomba ujenzi wa mnara wake uharakishwe.
Msisitizo wangu unabaki katika ujenzi wa Mnara uharakishwe.Taulo haliruhisiwi ndani ya goli... Sheria ipi hiyo inayokataza uwepo wa taulo ndani ya goli???
Unaonaje kidimbwi kuwa ni bahari... Au wewe ni ndubwi???Hii bahari ya soccer mtupishe nendeni mkaogelee kwenye mito.
Aliyeondoa ndiye mshirikina au aliyeweka!Mchezaji wa Yanga Africa, Shomari Kibwana ametozwa Faini ya Shilingi Milion Moja kwa kosa la kuonekana akiondoa taulo la Mlinda lango wa Klabu ya Mashujaa Lilikokuwa limewekwa Pembeni ya Lango wakati mchezo huo unaendelea.
Adhabu hii ni Kuzingatia Kanuni ya 41:5 ya Ligi Kuu kuhusu udhibiti wa wachezaji .
simba wametozwa milion 1 kosa ushirikinaMchezaji wa Yanga Africa, Shomari Kibwana ametozwa Faini ya Shilingi Milion Moja kwa kosa la kuonekana akiondoa taulo la Mlinda lango wa Klabu ya Mashujaa Lilikokuwa limewekwa Pembeni ya Lango wakati mchezo huo unaendelea.
Adhabu hii ni Kuzingatia Kanuni ya 41:5 ya Ligi Kuu kuhusu udhibiti wa wachezaji .
Aliyetoa...Aliyeondoa ndiye mshirikina au aliyeweka!