THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #21
Basi msiumie akikosa kombe mwanenu azeeke hivohivo.Pesa ni muhimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi msiumie akikosa kombe mwanenu azeeke hivohivo.Pesa ni muhimu.
Basi afanye hivohivo akizeeka akitaka kuongea kitu msiseme unaongea una nini.Mtoa mada kafanye kazi Jiji ya kusafisha mazingira utapata medali nyingi na sifa kibao,mshahara laki moja elfu arobaini mia tatu na tisa una mke na watoto wawili,
Kama zilivyo familia nyingi za kiafrika baba,mama,shangazi,dada wanakuangalia wewe!
Hebu acha kuikosea adabu pesa!
MPIRA NI AJIRA, UONE KAMA UTAKULA KOMBE. MWISHO WA SIKU KUNA KUZEEKA NA HAPO NDO UTAONA THAMANI YA KOMBE AU NJURUKU ULIZOPATA.Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili.
Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali hatukai ila ukweli Mpira wowote duniani lazima Uucheze na lazima utwae makombe.
Kama hupati nafasi ya kucheza hapo ndio unaweza sema nataka niondoke hapa hata kama unatwaa makombe maana mpira wowote alzima uucheze usipoucheza hutopata watu wakukuona na kukusajili ambapo pengine wale ndio watakupa hela Nyingi uzitakazo.
Fei angekaa Yanga leo hii angekua anasakwa na team Nyingi za Nje sana ambazo naamini kabisa zingekua zinampa hela nyingi kuliko anayopata saivi pale Azam believe Me or not.
Saivi hafatiliwi maana Azam haina chochote na kwa mfumo wa soka la Afrika team hazifanyi scout zinafata mtu anaesemwa sana na team inayoongolewa sana ambayo now ni Yanga.
Fei washauri walimponza hata Ronaldo alikua maskini sana ila aliamini aucheze kwanza mpira sehemu atakayoonekana na atwae vikombe.
HARRY KANE NOW ANAHAHA ANAZIDIWA VIKOMBE HADI NA JOHN EVANS.
View attachment 3007238
Azam hawajamununua Fei kuja kumtoa kwenye Umasikin wake nalo ukumbuke hiloMPIRA NI AJIRA , UONE KAMA UTAKULA KOMBE. MWISHO WA SIKU KUNA KUZEEKA NA HAPO NDO UTAONA THAMANI YA KOMBE AU NJURUKU ULIZOPATA.
kwani kwenye ligi ana magoli mangapi? unadhani feisal anacheza peke yake? yeye ametimiza majukumu yake au hajatimiza? Feisal ameenda AZam aondokewe na umaskini wake so ni give and takeAzam hawajamununua Fei kuja kumtoa kwenye Umasikin wake nalo ukumbuke hilo
so lazima nae apambane kuwapa konbe ila kwa kua Team ni haielewek haitobeba kombe so at the end Azam watauza wachezaji wanaowalipa hela nyingi na yeye atauzwa pia na atauzwa Team ya kawaida na atalipwa kawaida sana.
Mfano weewe ungekuwa Feisal ungeacha salary ya milioni karibu kumi na sita kwa mwezi,gari,nyumba kisa mapenzi ya timu au vikombe vya TFF ya karia?Basi afanye hivohivo akizeeka akitaka kuongea kitu msiseme unaongea una nini.
Nyienyie ndio mtakuja kusema hayo maneno.
So for now akikosa kombe msiumie na asiumie achague kombe ila ujue Azam nao hawajaleta mchezaji wakupata pesa yeye tu ila wao hawapati chochote.
Hadi auzwe atakuwa ameshakunja mkwanja wa kutosha,hebu itafute interview ya baba ake Mrisho Ngasa uone Mzee alivyoshangaa na kusikitika baada ya mtoto wake kuikacha ofa ya Al hilal yenye pesa nyingi kisa mapenzi yake na yanga!Azam hawajamununua Fei kuja kumtoa kwenye Umasikin wake nalo ukumbuke hilo we Bwegge Mkubwa.
so lazima nae apambane kuwapa konbe ila kwa kua Team ni haielewek haitobeba kombe so at the end Azam watauza wachezaji wanaowalipa hela nyingi na yeye atauzwa pia na atauzwa Team ya kawaida na atalipwa kawaida sana.
Azeeke akiwa na pesa siyo makombe.Basi msiumie akikosa kombe mwanenu azeeke hivohivo.
Tatizo la kukaa kwa shemeji, wala huwazi Matumizi ya familia. Unabaki tu Kula kulala.Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili.
Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali hatukai ila ukweli Mpira wowote duniani lazima Uucheze na lazima utwae makombe.
Kama hupati nafasi ya kucheza hapo ndio unaweza sema nataka niondoke hapa hata kama unatwaa makombe maana mpira wowote alzima uucheze usipoucheza hutopata watu wakukuona na kukusajili ambapo pengine wale ndio watakupa hela Nyingi uzitakazo.
Fei angekaa Yanga leo hii angekua anasakwa na team Nyingi za Nje sana ambazo naamini kabisa zingekua zinampa hela nyingi kuliko anayopata saivi pale Azam believe Me or not.
Saivi hafatiliwi maana Azam haina chochote na kwa mfumo wa soka la Afrika team hazifanyi scout zinafata mtu anaesemwa sana na team inayoongolewa sana ambayo now ni Yanga.
Fei washauri walimponza hata Ronaldo alikua maskini sana ila aliamini aucheze kwanza mpira sehemu atakayoonekana na atwae vikombe.
HARRY KANE NOW ANAHAHA ANAZIDIWA VIKOMBE HADI NA JOHN EVANS.
View attachment 3007238
Pesa kwanza, makombe ni ya timu. 😀 😀Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili.
Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali hatukai ila ukweli Mpira wowote duniani lazima Uucheze na lazima utwae makombe.
Kama hupati nafasi ya kucheza hapo ndio unaweza sema nataka niondoke hapa hata kama unatwaa makombe maana mpira wowote alzima uucheze usipoucheza hutopata watu wakukuona na kukusajili ambapo pengine wale ndio watakupa hela Nyingi uzitakazo.
Fei angekaa Yanga leo hii angekua anasakwa na team Nyingi za Nje sana ambazo naamini kabisa zingekua zinampa hela nyingi kuliko anayopata saivi pale Azam believe Me or not.
Saivi hafatiliwi maana Azam haina chochote na kwa mfumo wa soka la Afrika team hazifanyi scout zinafata mtu anaesemwa sana na team inayoongolewa sana ambayo now ni Yanga.
Fei washauri walimponza hata Ronaldo alikua maskini sana ila aliamini aucheze kwanza mpira sehemu atakayoonekana na atwae vikombe.
HARRY KANE NOW ANAHAHA ANAZIDIWA VIKOMBE HADI NA JOHN EVANS.
View attachment 3007238
Kwani huoni anatimiza majukumu yake. Tatizo ni la timu.Kibongobongo..kama Makombe kwanza kwanini anaumia akikosa kombe?
Halaf kingine azam watakuja kumuuza maana hawawez kua na mchezaji yeye anapata anachota ila wao hawapati wanachotaka toka kwake unadhan Azam wao wanataka mchezaji wakuongelewa tu hawataki mataji?
Inahitaji akili kubwa kama mimi kugomaMfano weewe ungekuwa Feisal ungeacha salary ya milioni karibu kumi na sita kwa mwezi,gari,nyumba kisa mapenzi ya timu au vikombe vya TFF ya karia?
Basi ataachwa sio mda na atakosa hela pamoja na vikombeKwani huoni anatimiza majukumu yake. Tatizo ni la timu.
Oky sawa we unaelelewa na Jimama na huna mbele wala nyuma unafatilia mpira unahisi why wa brazili wanagoma kutoka Madrid au unahisi why mbappe kakataa hela za Uarabun kakataa hela za PSG kisa nini?Tatizo la kukaa kwa shemeji, wala huwazi Matumizi ya familia. Unabaki tu Kula kulala.
Mtu mwenye kujua nini maana ya maisha na uhitaji wa pesa huwezi Kuwaza na kuandika OP hivi. Tena miaka hii ya MPIRA AJIRA!!!?
UNATAKA AFE MASKINI KISA KUIPENDA UTOPWINYO.
MSHIKO KWANZA MAKOMBE AJALIWAYE.
Mshahara wa Madrid anaolipwa ni mkubwa na hauna tofauti sana....yanga milioni kama 4 Azam milion 16!Inahitaji akili kubwa kama mimi kugoma
Juzi Rodrygo kagoma kasena hatoki Madrid unahisi why?
Na unahisi Mshahara atakaopewa na City ni sawa na Wa Madrid ila kagoma kuondoka.
Vikombe sio muhimu kwake, pesa ndio muhimu......hata akiachwa kuna timu zitamchukua kwa pesa vile vile. Yupo kwenye kiwango bora kwa sasa.Basi ataachwa sio mda na atakosa hela pamoja na vikombe
Shida unachanganya mambo huwezi kuwazungumzia Mbape au Rodrygo (wachezaji wa ulaya)tayari wana pesa za kutosha halafu ufananishe na maisha ya wachezaji wa Tanzania lastly uje kumlaumu Feisal!Andiko Langu linanifungua Mengi sana kumbe Rushwa haiwez kuja kuisha maana watu mna taamaa sana na Pesa.
MBAPPE KAGOMA KUBAKI PSG NA ALIKUA ANALIPWA HADI MAMA AKE MALUPULUPU YA KUTOSHA ILA KAGOMA MNAHIULIZA WHY NA ALIWAHI GOMA KWENDA SAUDIA HUYU.
THE SAME RODRYGO KAGOMA KWENDA MAN CITY AU KUTOKA MADRID KAGOMEA NINI HUYU?
UMASIKINI NDIO UNAWAFANYA MUONE PESA NDIO KILA KITU..YOUNG KILLER ALISEMA UMASIKIN NDIO UNAOWAFANYA WADADA WAONE WANAPENDWA PALE WAKIPEWA PESA
Wewe unajua dau la Mbape kwenda Madrid au unasema tu... 😀 😀Andiko Langu linanifungua Mengi sana kumbe Rushwa haiwez kuja kuisha maana watu mna taamaa sana na Pesa.