THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #41
Pole sañaMshahara wa Madrid anaolipwa ni mkubwa na hauna tofauti sana....yanga milioni kama 4 Azam milion 16!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sañaMshahara wa Madrid anaolipwa ni mkubwa na hauna tofauti sana....yanga milioni kama 4 Azam milion 16!
Tatizo mnakurupuka tu Mbappe kaenda Free ĺabda issue ni signing fee kitu ambacho sio big deal..na hela atakayolipwa kule angeweza kupewa PSG mara mbili.Wewe unajua dau la Mbape kwenda Madrid au unasema tu... 😀 😀
Ajibu ilikuaje leo hua mnamsema si alichagua Pesa simba akakataa kwenda Mazembe mbona yeye hua hamsemi hivi?Vikombe sio muhimu kwake, pesa ndio muhimu......hata akiachwa kuna timu zitamchukua kwa pesa vile vile. Yupo kwenye kiwango bora kwa sasa.
Issue mnajichanganya wenyewe mara mseme hakuna mchezaji anaweza fanya hivo tutajie nawatajia saiv mnasema mara usiwachanganye..Ujue kuna wachezaji walikua maskin sana ila wakagoma kwenda Team flani wakataka kwanza kujijengea rekodi zao wakiamin hayo maisha yapo tu.Shida unachanganya mambo huwezi kuwazungumzia Mbape au Rodrygo (wachezaji wa ulaya)tayari wana pesa za kutosha halafu ufananishe na maisha ya wachezaji wa Tanzania lastly uje kumlaumu Feisal!
Unaijua 'life span' ya mpira wa bongo?Narudia tena huwezi kufananisha mpira wa ulaya na bongo halafu umtie kitanzini Fei.Yanga walimpa mkataba wa miaka minne ndio maana alistuka,Feisal ametumia akili sana kwenye kuangalia kesho yake!Issue mnajichanganya wenyewe mara mseme hakuna mchezaji anaweza fanya hivo tutajie nawatajia saiv mnasema mara usiwachanganye..Ujue kuna wachezaji walikua maskin sana ila wakagoma kwenda Team flani wakataka kwanza kujijengea rekodi zao wakiamin hayo maisha yapo tu.
Ronaldo aligoma sana kwenda China ila saiv vipi si yupo saudia aligoma coz alitaka kutengeneza rekodi zake ndio kitu kinamfanya hata siav bado analipwa pesa ndefu japo kazeeka ndio kitu kinamfanya alambe madeal makubwa makubwa.
Eleweni unapokua unatafta pesa hakikisha pia unatengeneza mianya ya kua hapo baadae pesa ziendelew ku flow hata kama huchez Fei huyu atachuma saiv ila baadae zitakata na atazeeka mara Mungu anampa maisha marefu baadae zinaisha kabisa anarudi kuombaomba misaada.
Fei na Ajibu ni watu wawili tofauti kabisa......Ajibu alikwenda Yanga kutokea Simba kwa sababu ya pesa...umesahau?Ajibu ilikuaje leo hua mnamsema si alichagua Pesa simba akakataa kwenda Mazembe mbona yeye hua hamsemi hivi?
Mda utafika na Fei mtamsema tu..Tusubirie.
Leo hii??Fei na Ajibu ni watu wawili tofauti kabisa......Ajibu alikwenda Yanga kutokea Simba kwa sababu ya pesa...umesahau?
Harry Kane ni kama Michael BallackHarry Kane ana gundu hata akienda City anaweza asitwae kombe
Luis Figo alitoka Barca kwenda Madrid, Beckham kutoka united kwenda Madrid, Alex song kutoka arsenal kwenda Barca, Partey kutoka Atletico kwenda arsenal, kroos kutoka Bayern kwenda Madrid, etoo kutoka inter kwenda anzhi ya urusi, Idris gana kutoka everton kwenda psg,fei toto yanga kwenda Azam, harry moris kutoka prison kwenda yanga, said mhando kutoka prison kwenda yanga nk hao wote walihama timu kufuata maslahi, kroos na Alex song walisema waziwazi kwenye interview, wengine ilithibitika baada ya mikataba na vilabu vipya kuwekwa hadharaniUmewahoji wangapi?
Au ndie fei toto?
Hizi Blog zinawaharibu sana😁Luis Figo alitoka Barca kwenda Madrid, Beckham kutoka united kwenda Madrid, Alex song kutoka arsenal kwenda Barca, Partey kutoka Atletico kwenda arsenal, kroos kutoka Bayern kwenda Madrid, etoo kutoka inter kwenda anzhi ya urusi, Idris gana kutoka everton kwenda psg,fei toto yanga kwenda Azam, harry moris kutoka prison kwenda yanga, said mhando kutoka prison kwenda yanga nk hao wote walihama timu kufuata maslahi, kroos na Alex song walisema waziwazi kwenye interview, wengine ilithibitika baada ya mikataba na vilabu vipya kuwekwa hadharani