Mchezaji yeyote duniani hutafuta vitu viwili tu, Kucheza na kushinda Makombe

Basi afanye hivohivo akizeeka akitaka kuongea kitu msiseme unaongea una nini.

Nyienyie ndio mtakuja kusema hayo maneno.
So for now akikosa kombe msiumie na asiumie achague kombe ila ujue Azam nao hawajaleta mchezaji wakupata pesa yeye tu ila wao hawapati chochote.
 
MPIRA NI AJIRA, UONE KAMA UTAKULA KOMBE. MWISHO WA SIKU KUNA KUZEEKA NA HAPO NDO UTAONA THAMANI YA KOMBE AU NJURUKU ULIZOPATA.
 
MNAOTOA REPLY MKAE MKIJUA TU HATA AZAM NAO HAWALIPI HIVO KUMSAIDIA YEYE NA UMASIKIN WAKE WANALIPA HIVO WANATAKA KOMBE SO WASIPOPATA KOMBE WATAWAUZA WACHEZAJI WOTE WANAOIINGIZIA GHARAMA TEAM NA HAWAPAT CHOCHOTE ILI KUBANA NA MATUMIZI

Hapo ndio Mchezaji wenu atakapouzwa Team za kawaida Maana itakua hakuna Team ya Maana ina mhitaji mda huo.
 
MPIRA NI AJIRA , UONE KAMA UTAKULA KOMBE. MWISHO WA SIKU KUNA KUZEEKA NA HAPO NDO UTAONA THAMANI YA KOMBE AU NJURUKU ULIZOPATA.
Azam hawajamununua Fei kuja kumtoa kwenye Umasikin wake nalo ukumbuke hilo

so lazima nae apambane kuwapa konbe ila kwa kua Team ni haielewek haitobeba kombe so at the end Azam watauza wachezaji wanaowalipa hela nyingi na yeye atauzwa pia na atauzwa Team ya kawaida na atalipwa kawaida sana.
 
kwani kwenye ligi ana magoli mangapi? unadhani feisal anacheza peke yake? yeye ametimiza majukumu yake au hajatimiza? Feisal ameenda AZam aondokewe na umaskini wake so ni give and take
 
Mfano weewe ungekuwa Feisal ungeacha salary ya milioni karibu kumi na sita kwa mwezi,gari,nyumba kisa mapenzi ya timu au vikombe vya TFF ya karia?
 
Hadi auzwe atakuwa ameshakunja mkwanja wa kutosha,hebu itafute interview ya baba ake Mrisho Ngasa uone Mzee alivyoshangaa na kusikitika baada ya mtoto wake kuikacha ofa ya Al hilal yenye pesa nyingi kisa mapenzi yake na yanga!
Nyie hamna tofauti na 'education is better than money'.
 
Tatizo la kukaa kwa shemeji, wala huwazi Matumizi ya familia. Unabaki tu Kula kulala.

Mtu mwenye kujua nini maana ya maisha na uhitaji wa pesa huwezi Kuwaza na kuandika OP hivi. Tena miaka hii ya MPIRA AJIRA!!!?
UNATAKA AFE MASKINI KISA KUIPENDA UTOPWINYO.
MSHIKO KWANZA MAKOMBE AJALIWAYE.
 
Pesa kwanza, makombe ni ya timu. 😀 😀
 
Kwani huoni anatimiza majukumu yake. Tatizo ni la timu.
 
Mfano weewe ungekuwa Feisal ungeacha salary ya milioni karibu kumi na sita kwa mwezi,gari,nyumba kisa mapenzi ya timu au vikombe vya TFF ya karia?
Inahitaji akili kubwa kama mimi kugoma

Juzi Rodrygo kagoma kasena hatoki Madrid unahisi why?

Na unahisi Mshahara atakaopewa na City ni sawa na Wa Madrid ila kagoma kuondoka.
 
Oky sawa we unaelelewa na Jimama na huna mbele wala nyuma unafatilia mpira unahisi why wa brazili wanagoma kutoka Madrid au unahisi why mbappe kakataa hela za Uarabun kakataa hela za PSG kisa nini?

We panzi jike kweli unapandwa hadi na vitoto.
 
Andiko Langu linanifungua Mengi sana kumbe Rushwa haiwez kuja kuisha maana watu mna taamaa sana na Pesa.

MBAPPE KAGOMA KUBAKI PSG NA ALIKUA ANALIPWA HADI MAMA AKE MALUPULUPU YA KUTOSHA ILA KAGOMA MNAHIULIZA WHY NA ALIWAHI GOMA KWENDA SAUDIA HUYU.

THE SAME RODRYGO KAGOMA KWENDA MAN CITY AU KUTOKA MADRID KAGOMEA NINI HUYU?

UMASIKINI NDIO UNAWAFANYA MUONE PESA NDIO KILA KITU..YOUNG KILLER ALISEMA UMASIKIN NDIO UNAOWAFANYA WADADA WAONE WANAPENDWA PALE WAKIPEWA PESA
 
Shida unachanganya mambo huwezi kuwazungumzia Mbape au Rodrygo (wachezaji wa ulaya)tayari wana pesa za kutosha halafu ufananishe na maisha ya wachezaji wa Tanzania lastly uje kumlaumu Feisal!
 
Wewe unajua dau la Mbape kwenda Madrid au unasema tu... 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…