Kombolela, mnaenda huko mnajificha halafu unapiga ya "kinguo nguo" basi mwenye unajiona mjanja.
Kombolela mida ya jioni nikitoka kucheza mpira, Angela kule Tabora nakumiss sana balaaa utoto wa enzi zile ni tofauti na leo( maana miaka hii watoto kupotea, ushoga nk) miaka ile ilikuwa raha mustareheKila mtu ana makuzi yake aliyopitia utotoni kuna wale wa kishua,wa uswazi na wa kijijini,
Na kila mtu ana mchezo wake aliokuwa anaupenda sana , Binafsi ilikuwa kwenye Chandimu,gorori pamoja na mchezo wa kujificha ficha,
Kitu ambacho sitosahau kwenye mchezo wa kujificha ficha ni kwamba kulikuwa na wakubwa kiasi waliotupita umri kumbe ile wakati wa kuzinga na kujificha wao wanakimbilia sehemu moja kwenda kuduu mtawatafuta mpaka mkome.
Rede na mdakoKila mtu ana makuzi yake aliyopitia utotoni kuna wale wa kishua,wa uswazi na wa kijijini,
Na kila mtu ana mchezo wake aliokuwa anaupenda sana , Binafsi ilikuwa kwenye Chandimu,gorori pamoja na mchezo wa kujificha ficha,
Kitu ambacho sitosahau kwenye mchezo wa kujificha ficha ni kwamba kulikuwa na wakubwa kiasi waliotupita umri kumbe ile wakati wa kuzinga na kujificha wao wanakimbilia sehemu moja kwenda kuduu mtawatafuta mpaka mkome.
Walikua wanalala kwa mwenyekiti wa kijiji?Kuwinda ndege na kuchunga ng'ombe wa kijiji.
Rogie ya kweli hayo?Katika utoto wangu hii sikuwahi kufanya kabisa aise.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kulamba sukari