Mchezo gani ulikuwa unaupenda utotoni

Mchezo gani ulikuwa unaupenda utotoni

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kila mtu ana makuzi yake aliyopitia utotoni kuna wale wa kishua,wa uswazi na wa kijijini,

Na kila mtu ana mchezo wake aliokuwa anaupenda sana , Binafsi ilikuwa kwenye Chandimu,gorori pamoja na mchezo wa kujificha ficha,

Kitu ambacho sitosahau kwenye mchezo wa kujificha ficha ni kwamba kulikuwa na wakubwa kiasi waliotupita umri kumbe ile wakati wa kuzinga na kujificha wao wanakimbilia sehemu moja kwenda kuduu mtawatafuta mpaka mkome.
 
Kombolela mida ya jioni nikitoka kucheza mpira, Angela kule Tabora nakumiss sana balaaa utoto wa enzi zile ni tofauti na leo( maana miaka hii watoto kupotea, ushoga nk) miaka ile ilikuwa raha mustarehe
 
Nimecheza michezo mingi sana ilyokuwa inachezwa na watoto wa vijijini.
1. Kibaba baba na kimama mama
2. Kujificha
3. Rede
4. Kutengeneza magari kwa udongo na kuyachezea
5. Kuogelea mtoni
6. Kuruka kamba
7. Kuwinda ndege fulani, maarufu kwa kujificha chini ya majani
8. Kutega ndege kwa kutumia upinde, mpira(ile ya kufungia mizigo kwenye baiskeli au pikipiki), urimbo
9. Kucheza mpira wa madanso
 
Re
Kila mtu ana makuzi yake aliyopitia utotoni kuna wale wa kishua,wa uswazi na wa kijijini,

Na kila mtu ana mchezo wake aliokuwa anaupenda sana , Binafsi ilikuwa kwenye Chandimu,gorori pamoja na mchezo wa kujificha ficha,

Kitu ambacho sitosahau kwenye mchezo wa kujificha ficha ni kwamba kulikuwa na wakubwa kiasi waliotupita umri kumbe ile wakati wa kuzinga na kujificha wao wanakimbilia sehemu moja kwenda kuduu mtawatafuta mpaka mkome.
Rede na mdako
 
Back
Top Bottom