Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Kila mtu ana makuzi yake aliyopitia utotoni kuna wale wa kishua,wa uswazi na wa kijijini,
Na kila mtu ana mchezo wake aliokuwa anaupenda sana , Binafsi ilikuwa kwenye Chandimu,gorori pamoja na mchezo wa kujificha ficha,
Kitu ambacho sitosahau kwenye mchezo wa kujificha ficha ni kwamba kulikuwa na wakubwa kiasi waliotupita umri kumbe ile wakati wa kuzinga na kujificha wao wanakimbilia sehemu moja kwenda kuduu mtawatafuta mpaka mkome.