Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulamba sukari
Madam T; kibaba na mama kinguo nguo lazima iongoze maama ndo uwanja wa mazoezi na mafunzo siunajua haina shule hiyo.Kombolela na kibaba na mama naona imeongoza mpaka dakika hii
Madam T; kibaba na mama kinguo nguo lazima iongoze maama ndo uwanja wa mazoezi na mafunzo siunajua haina shule hiyo.
Kibaba na mama alafu hamvui nguoKinguo ndiyo mchezo gani
Kibaba na mama alafu hamvui nguo
Hahahaha!!!Mnatengeneza duara halafu mnaimba: -
"Kidea, kidea, kide kide kide kide kide kide, i love nakupenda...."
kisha unaenda kumchagua unayempenda...
Mitaa ya ubungo maziwa miaka ya 90..[emoji3]
Hahaha! wengine hapo ndo tulikua tunapatia darasa na shiihaa shiihaa za kufa mtu. Me hata sielewi tulikua tunapata raha gani asee.
Hahahaha!!! Chumanile: ulikikanyaga tu we hukukiona hicho kichocho?Umenifanya nikumbuke miaka 26iliyopita.kigogo darajani,tulikua tunaenda kuogera.sito sahau nilipo pata gonjwa LA KICHOCHO.