Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mchezo huwa kinawekwa kijiti kwa juu Sasa ww kula kwa pupa kisha kianguke ndipo utakiona cha motokula mbakishie baba ukitufundisha baba hanyimwi chakula maana ndio mtafutaji
Sisi tulikuwa tunatumia mpira kucheza ukipitishwa mpira tobo unapewa mangumi ya mgongo...tobo dunda hauna jina lingine huu mchezo?,
Nakumbuka sisi tulikuwa tunacheza gizani mtu mmoja anapanua miguu tunajificha alafu tunamtegea tunakimbia kwa kasi tunapita tobo bila kukutaja jina iwe tunapitia kwa nyuma au mbele yani ni timing na ukizembea anakutandika kibao cha mgongoni utagulia maumivu mbele ya safari
Zaidi ya hapo aiseeKwani na ww alikukandamiza na goti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mchezo wa kupigana kimasihara adi hasira zinapanda mnapigana kweli.