Mchezo gani wa utoto ulikuwa unaupenda sana?

kula mbakishie baba ukitufundisha baba hanyimwi chakula maana ndio mtafutaji
Huo mchezo huwa kinawekwa kijiti kwa juu Sasa ww kula kwa pupa kisha kianguke ndipo utakiona cha moto
 
Sisi tulikuwa tunatumia mpira kucheza ukipitishwa mpira tobo unapewa mangumi ya mgongo...
 
Sisi tulikuwa tunatumia mpira kucheza ukipitishwa mpira tobo unapewa mangumi ya mgongo...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sisi hatupigana kwa ajili kupitishana tobo tulikuwa tunakucheka mpaka basiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜πŸ˜œπŸ˜πŸ˜œπŸ˜πŸ˜œ
 
Huo mchezo huwa kinawekwa kijiti kwa juu Sasa ww kula kwa pupa kisha kianguke ndipo utakiona cha moto
Sasa kuna wakati unakiangusha kwa bahati mbaya alafu hujajipanga kukimbia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚aisee watakufaidi chap kwa haraka umevamiwa
 
Kombolela na tukijificha tulikua hatuonekani teeena πŸ˜‹
 
Kuna mchezo wa kupigana kimasihara adi hasira zinapanda mnapigana kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…