Mchezo mchafu uliofanyika kwenye zoezi la kuwapata makarani na wasimamizi maudhui huenda likaathiri upatikanaji wa taarifa sahihi kutokana na sababu kuu 2. 1-vijana wengi waliopatikana wamepatikana kwa njia isio sahihi yaani Rushwa na upendeleo.
Mfano kwenye kata yangu mtendaji wa Kijiji amejaza watu wake anao wajua na ndugu zake ambao hawakutuma hata maombi ya sensa.
Mwalimu mkuu wa shule jirani na kata husika ameita ndungu zake kutoka Mbeya na Geita wote hawakutuma maombi ukiangalia orodha ya majina iliyotoka kwenda semina majina yapo 33 Kati ya hao walio fanya usahili na kupita ni 2 tu hao 31 hawajulikani wametokea wapi 2- sababu ya pili kuwaengua watumishi na kujaza raia weng wa mtaani ambao hawana uzoefu na takwimu.