Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
SawaSimba hawezi kumgomea Rais Samia hapo ataufyata ataleta timu na kufungwa goli 5
Hii haina ubishi..
#YANGA BINGWA
Naiona Simba ikipoteza mchezo mmoja,.
Na kumfanya kuwa nyuma kwa alama 4 mbele ya Yanga.
Hivyo mimi kama UwesuTanzania naiona Deby ya Kariakoo Simba ikicheza kwa kukamilisha tu ratiba, pia nikiendelea kumulika hapa naona kuna asilimia kubwa za Simba Kuto kwenda uwanjani siku ya mchezo baada ya matokeo hayo..
Uwe na siku njema
Kagera na Ken Gold hazina uwezo wa kuifunga Simba hata kama refa atakua Arajiga na Simba wacheze 9.Naiona Simba ikipoteza mchezo mmoja,.

Hahahahaha!