Nilipofika kijiji cha Kifaru, nilimkuta diwani wa zamani akila mihogo chini ya kivuli cha mninga.
Mtu anayefuata ataandika,
Aliniangalia kwa macho yaliyobeba historia ndefu, kisha akasema, “Hawa walinipigia kura, lakini wakasahau kuwa mimi pia ni binadamu.”
Mtu anayefuata ataandika,
Pembeni yake kulikuwa na kijana aliyebeba mabango ya uchaguzi yaliyopigwa jua hadi yamegeuka vumbi.
Mtu anayefuata ataandika,
Kwenye mbao ya matangazo bado limebandikwa tangazo la “Mkutano wa Mbunge: Tutashusha Bei ya Mbolea na Mafuta!”
Mtu anayefuata ataandika,
Wazee wanne walikuwa wanacheza drafti huku wakilalamikia jinsi ahadi za umeme zimekuwa kama ndoto za mchana.
(Sasa mtu anayefuata anaendeleza kwa kuandika sentensi moja tu)Mtu anayefuata ataandika,
Mmoja wao akasema, “Miaka mitano imepita, transformer bado ipo kwenye kiwanja cha fundi aliyehamia Kenya.”
...Haduri alikuwa mashuhuri kwa hekima zake, hata wazee walimshauriana naye kabla ya uamuzi.Hapo kale katika kijiji cha Ulanga huko Morogoro vijijini, palikuwapo na mtu mmoja aliyeitwa Haduri,........
Nae haduri alikuwa ni mlevi asieshaurika!, koo lake lilitoa sauti ya mkoromo kutokana na athari yakuchanganya vilevi vikali na visivyo vikali......Haduri alikuwa mashuhuri kwa hekima zake, hata wazee walimshauriana naye kabla ya uamuzi.
lakini baada ya kukutana na mrembo aitwae Rose Haduri alibadilika na kuacha tabia yake ya uleviNae haduri alikuwa ni mlevi asieshaurika!, koo lake lilitoa sauti ya mkoromo kutokana na athari yakuchanganya vilevi vikali na visivyo vikali...
Mizimu na malaika haikuwa upande wa haduri, kwani baada yakuachwa na rose alirudia ulevi wake isivyo kifani hadi kufikia hatua watu kumuita "haduri mapombe!".lakini baada ya kukutana na mrembo aitwae Rose Haduri alibadilika na kuacha tabia yake ya ulevi
Kijiji kizima kilijua sauti yake ya makelele usiku, akilalamika kwa huzuni na kuimba nyimbo za maumivu ya kuachwa.Mizimu na malaika haikuwa upande wa haduri, kwani baada yakuachwa na rose alirudia ulevi wake isivyo kifani hadi kufikia hatua watu kumuita "haduri mapombe!".
Tena alizua tabia mpya yakujifanya nunda mpiganaji!, alikuwa akipigana na kila rika, ngumi na mateke yake yalimpiga yoyote aliekuwa kikwazo mbele yake!..Kijiji kizima kilijua sauti yake ya makelele usiku, akilalamika kwa huzuni na kuimba nyimbo za maumivu ya kuachwa.
Aliamini kuwa kila kipigo kilikuwa ishara ya nguvu, lakini hakujua kuwa alijichimbia kaburi la huzuni na machungu yake mwenyewe.Tena alizua tabia mpya yakujifanya nunda mpiganaji!, alikuwa akipigana na kila rika, ngumi na mateke yake yalimpiga yoyote aliekuwa kikwazo mbele yake!..
Kila siku, wazazi wake hasa baba, walitafuta mbinu zote ili mtoto wao Haduri aache ulevi na ukorofi lakini ilishindikana, hivyo wakaamua wahamie upande wa pili...yaani kwa waganga wa kienyeji ili mtoto wao aweze kupona hiyo hali ya ulevi na matusi, wakiamini mtoto wao amerogwa na mtu mbaya pale kijijini...Aliamini kuwa kila kipigo kilikuwa ishara ya nguvu, lakini hakujua kuwa alijichimbia kaburi la huzuni na machungu yake mwenyewe.
Vijana walimwita "Haduri wa matusi," na kila mapigano yaliongeza ukimya wa umoja wa kijiji kilichokuwa kimechoka na vurugu zake.
licha ya kwenda kwa waganga lakini bado waligonga mwamba!, ulevi wa haduri ulikuwa ni sugu!.Kila siku, wazazi wake hasa baba, walitafuta mbinu zote ili mtoto wao Haduri aache ulevi na ukorofi lakini ilishindikana, hivyo wakaamua wahamie upande wa pili...yaani kwa waganga wa kienyeji ili mtoto wao aweze kupona hiyo hali ya ulevi na matusi, wakiamini mtoto wao amerogwa na mtu mbaya pale kijijini...
Hakupenda kunywa pombe ila mawazo ya majukumu aliyonayo akiwa ni mtoto mkubwa kwenye familia akitegemewa na wazazi na wadogo zake aikomboe familia kwenye umasikini ila akiangalia umri unaenda hana kazi, mke wala nyumba na msichana pekee aliyempenda aitwaye rose alimuacha, kichwa kinajaa mawazo na njia pekee aliyoiona kupunguza mawazo ilikuwa ni pombelicha ya kwenda kwa waganga lakini bado waligonga mwamba!, ulevi wa haduri ulikuwa ni sugu!.
kila dawa ilidunda mbele yake!, ulikuwa ni mti mkavu usiosikia dawa waweza sema ule usemi wa "sikio la kufa halisikii dawa" ulianzia kwake!.
si mvua si jua haduri chapombe nae alikuwa ni kama kiungo kwenye pombe yenyewe!, hata umpulizie manukato ya malaika lakini bado harufu yake ya pombe ilizidi manukato!..
Huku akisindikizia na Ule wimbo wa ''mawazo'' wa msanii Diamond, Ipo siku pia aliwambia marafiki zake kwamba yeye pia anaweza kuimba.Hakupenda kunywa pombe ila mawazo ya majukumu aliyonayo akiwa ni mtoto mkubwa kwenye familia akitegemewa na wazazi na wadogo zake aikomboe familia kwenye umasikini ila akiangalia umri unaenda hana kazi, mke wala nyumba na msichana pekee aliyempenda aitwaye rose alimuacha, kichwa kinajaa mawazo na njia pekee aliyoiona kupunguza mawazo ilikuwa ni pombe
Familia yake na Ndoto ya kuwa muimba mziki ndio vitu pekee vilivyomfanya aendelee kuishi kwenye dunia ingawa kichwani kuna sauti ilimwambia kuwa haiwezi kuimba...Huku akisindikizia na Ule wimbo wa ''mawazo'' wa msanii Diamond, Ipo siku pia aliwambia marafiki zake kwamba yeye pia anaweza kuimba.
Miaka ilizidi kwenda, na umri wa Haduri ukawa mkubwa zaidi, hana kazi, hana mke, hana mtoto na mbaya zaidi ni mlevi kupindukia.Familia yake na Ndoto ya kuwa muimba mziki ndio vitu pekee vilivyomfanya aendelee kuishi kwenye dunia ingawa kichwani kuna sauti ilimwambia kuwa haiwezi kuimba...
Kila aliposhika chupa, aliiona kama kipaza sauti, na kila lalamiko lake liligeuka kuwa beti ya wimbo wa huzuni.Miaka ilizidi kwenda, na umri wa Haduri ukawa mkubwa zaidi, hana kazi, hana mke, hana mtoto na mbaya zaidi ni mlevi kupindukia.
Aliamini ndoto zake za kuwa mwanamuziki atazitimiza siku moja.....
Siku moja alilewa kichwa kikawa kizito kuliko makalio hivyo akaangula kichwa chini makalio juuMiaka ilizidi kwenda, na umri wa Haduri ukawa mkubwa zaidi, hana kazi, hana mke, hana mtoto na mbaya zaidi ni mlevi kupindukia.
Aliamini ndoto zake za kuwa mwanamuziki atazitimiza siku moja.....
Hali iliendelea hivyo hivyo kwa Haduri mpaka watoto walimdharau.Kila aliposhika chupa, aliiona kama kipaza sauti, na kila lalamiko lake liligeuka kuwa beti ya wimbo wa huzuni.
Usiku kucha alikuwa akipiga magitaa ya plastiki kwenye magunia, akiimba kwa sauti iliyochanganyika na kilio kisicho na mshabaha.
Watu wakijiji kile wakamkuta asubuhi, akiwa ameanguka katika kongoro la mto lupaso.Siku moja alilewa kichwa kikawa kizito kuliko makalio hivyo akaangula kichwa chini makalio juu