Mchezo ukiahirishwa wadhamini wanarudishiwa hela zao? Marefa wanalipwa posho zao?

Mchezo ukiahirishwa wadhamini wanarudishiwa hela zao? Marefa wanalipwa posho zao?

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Hii imekaaje wakuu?

Mchezo ukiahirishwa wadhamini wanarudishiwa hela zao? Marefa wanalipwa posho zao?
 
Hizo ni terms muhimu katika mikataba, supervening events na force majeure.
 
Aliyesababisha yote haya alipe gharama..!

Wale Mabaunsa wa Yanga Wabanwe waseme nani Aliwatuma Kuzuia Mazoezi ya Timu ya Simba siku moja kabla ya mechi..?
 
Back
Top Bottom