Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
515
Reaction score
520
Magaidi wamesha ukimbia muji wa afungi kwa sasa! Hari iko shwari,soon raia watarudi kwenye makazi yao. SADC bado wana panga mabegi kwenda ku saidia mwanachama.

IMG_20210807_181840.jpg

IMG_20210807_181732.jpg

IMG_20210807_181729.jpg

IMG_20210807_174220.jpg

IMG_20210807_174216.jpg

IMG_20210807_174054.jpg

IMG_20210807_174047.jpg

IMG_20210807_174102.jpg

IMG_20210807_174057.jpg

IMG_20210807_174225.jpg

IMG_20210807_174306.jpg

IMG_20210807_174535.jpg
 
Unaongea ukiwa Burundi au Bangui? Yaani nchi ambayo ukiwa Tabora unapiga Popote unapotaka ukienda Karagwe itakuwaje si unalenga Ikulu na RPG
Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.

Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.

Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?

Mungu tunusuru! [emoji848]
 
Tunajua ni jinsi gani Rwanda imenunua watu wa kufanya Propaganda hapa, Kuna hata watangazaji hawamalizi kipindi bila kutaja Rwanda, mfano Ciza wa Clouds na Power Breakfast, wewe ni mmoja wapo kwahiyo haishangazi. Ila Tanzania na kila mtu anajua kwa ukanda huu vita mbaya na ngumu kwetu hakuna kwa majirani zetu
 
Ila Tanzania tulikuwa na propaganda Mara tunaongoza kwa Vita ya chini Duniani!?

Mara sisi Ni wa pili Duniani kwa intelligensia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Enzi za Mwl it was funny.
 
Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.

Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.

Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?

Mungu tunusuru! [emoji848]
Rwanda wako vizuri Sana, na Kuna siku wataiteka nchi hii na kuitawala
 
Huyu mbuzi hazeeki wala hachoki. Siku moja tutasikia kaichukua Kati ya Uganda au Tanzania.

Huyu jamaa ana akili afu mjanja mjanja na katili saana. Masterminder!View attachment 1884690
Dude hahah you must be kidding!!!

Kaichukua Tanzania?kaichukua kuipeleka wapi?labda aikate kwenye world map ila siyo kuchukua nchi kama nchi,hizo pic tu kwenye skills wanaweza kuwa weupe na kumbuka huko wanakopigana wanapigana na guerillas ambao kwenye matumizi ya silaha imani yangu hawako vizuri sana.

Hatari ya wanaopambana nao ni kuwa wamekuwa brainwashed na dini kiasi hawafikirii mara mbili mbili kuhusu kifo huko muhanga nje nje.
 
Back
Top Bottom