Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

We utakuwa ni mtusi Rwanda Tanzania tukiamua asubuhi Tu Tunakunywa chai asubuhi.watusi huwa mnajisifia Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi ndio Bahima empire kasome hiyo kwanza. Ndio utajua tumepenyeza Hadi sehemu gani ya East Africa.
 
Kwaiyo wewe kwa akili zako timamu unaamini Rwanda inaweza kuisumbua Tanzania kijeshi? Kwani hao magaidi si ndiyo waliokimbizwa Tanzania kule Kibiti na kuzamia Msumbiji.
Huyo Kagame mbona makomandoo wa JWTZ walivyochakaza M23 alisema nini?
Usikurupukie reply wakati hujui comment ilikuwa ni nini. Mjadala umeanza masaa mangapi uko yalopita wewe unadandia reply za mwisho wakati zina mwanzo wake
 
LaRosa mnyarwanda huyu,kawavuruga wabongo hapa wanamwaga povu la maana.
Vita ni mbinu,jeshi bora na zana za kisasa,nasikia Rwanda wanamiliki drones za kivita ila sina hakika kama kweli wanazo.Tanzania hata tetesi za kumiliki izo drones sijawai kusikia ingawa uwenda zipo.
Rejea vita vya Armenia na Azerbaijan drones zilivyomaliza kazi asubuhi na mapema.mwenzio aje na drones alafu wewe njoo na askari wanaovunja matofali kwa kichwa alafu mkutane kwenye war scale uone chamtemakuni.
 
Rwanda amiliki drones zipi? Kwani drones zinauzwa kwa siri mpaka taasisi kama Jane's Defense na SIPRI zisijue. Hapa Afrika nchi zinazomiliki drones ni kama Nigeria, Egypt, Morocco wengine sikumbuki ila Rwanda haipo. Hapa Afrika hakuna silaha inauzwa gizani kwamba isijulikane, isipojulikana basi haina maajabu ya kuibua mjadala.

Drones hazikwepeki kwa sasa. Sasa kama unasema zile man portable ambazo hazifiki hata bei ya milioni 100 sijui la ajabu ni lipi
 
Kumbuka hapa unaizungumzia Rwanda isiyo na jet fighter hata moja. Yani wana ndege za kusafirishia tuvifaa na wanajeshi, helicopter chache na trainers, basi. Hela ya kununua na kuoperate fighter jets hawana, hawana uwezo wa kushambulia anga la adui labda watumie helicopter ambazo hazivuki range ya 400km. Wanasubiri ukawashambulie angani ndio wajitetee na radar zao hafifu, sasa kama unajua madhara ya defensive warfare ndio turudi kusema ni maajabu gani wanayo jeshi la Rwanda la wapigapicha
 
Tatizo wanekimbilia wapi

with Magu dead, they may shoot to live up north I.e., in Tanzania
 
Wakija bongo watapigwa had wachakae
 
Kwenda zako kichwa boga. Kamasi zilizowatoka DRC ulizifuta wewe? Magu RIP wakati anaingia alikwambia ana kazi ya kulificate jeshi .ukiona modernisation ya nchi usidhani jeshi linaachwa kibudu. So kama huna imani na nchi yako kakojoe ulale.mambo ye jeshi letu huwa hayawekwi hadharani ila njoo ujaribu uone.
 
Iko hivi kwa mtu ambaye unakula ugali kwa mama ako au uko kwa shemeji yako na infinix au tecno ukipiga vizinga vya vocha unaweza ukaona unajua sana kumbe hujui lolote ngoja nikupe somo na kama unafatilia mwaka jana wakati kitaya inavamiwa Tanzania ilikuwa bado hawajakutana na madhara ya waasi wa Msumbiji na mara ya mwisho waasi kuvuka mto ruvuma ilikuwa mwaka jana tar 28 siku ya uchaguzi hatujui kiliwapata nini wao ndio wanajua pia Tanzania haikuwahi kupeleka askari wake kule na kama wangefanikiwa kuvuka mpaka hata huo mwezi alioutumia Kagame, Del Garbo ingekuwa salama hadi sasa
 
Waliopo mtwara wanajua kuanzia mwezi wa 10 mwaka jana kurudi nyuma mtwara ulikuwa unaogopa kunywa hata maji pia wale waasi walikuwa na intelijensi kubwa sana huku tz mtwara walikuwepo mpaka bodaboda waasi wanaopeleka taarifa kwa hao mabarangasusu ila kilichowakuta sidhani kama wana hamu hata kunywa maji ya mto ruvuma kuwaambia tu laleni kwa aman nchi ipo salama usichokijua kuhusu jeshi usiwe muongeaji sana kwenye wanaume tupo huku tanzania hakuna sehemu muasi atakaa kuna nyota ataacha kuona hata mkiwa wawili unaletewa kifaru
 
Umeisahau Kenya
 
Hapo ss huku sadc wakijipanga kwenda rdf wamemaliza pambano kwa style ya Tyson

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…