LaRosa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2020
- 901
- 2,876
Nafurahia nchi Rwanda imekaribia kuwa super military Power hapa East Africa. [emoji2]Nimeandika nimefuta!
Nimeandika nimefuta!
Nimeandika nimefuta... mara 7!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafurahia nchi Rwanda imekaribia kuwa super military Power hapa East Africa. [emoji2]Nimeandika nimefuta!
Nimeandika nimefuta!
Nimeandika nimefuta... mara 7!!!
Silaha ndogo kabisa hizo za masafa mafupi tu! Haina tofauti na RPG.Acha kupotosha watu wewe.hii ni nini?View attachment 1887591
Sisi ndio Bahima empire kasome hiyo kwanza. Ndio utajua tumepenyeza Hadi sehemu gani ya East Africa.We utakuwa ni mtusi Rwanda Tanzania tukiamua asubuhi Tu Tunakunywa chai asubuhi.watusi huwa mnajisifia Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usikurupukie reply wakati hujui comment ilikuwa ni nini. Mjadala umeanza masaa mangapi uko yalopita wewe unadandia reply za mwisho wakati zina mwanzo wakeKwaiyo wewe kwa akili zako timamu unaamini Rwanda inaweza kuisumbua Tanzania kijeshi? Kwani hao magaidi si ndiyo waliokimbizwa Tanzania kule Kibiti na kuzamia Msumbiji.
Huyo Kagame mbona makomandoo wa JWTZ walivyochakaza M23 alisema nini?
Rwanda amiliki drones zipi? Kwani drones zinauzwa kwa siri mpaka taasisi kama Jane's Defense na SIPRI zisijue. Hapa Afrika nchi zinazomiliki drones ni kama Nigeria, Egypt, Morocco wengine sikumbuki ila Rwanda haipo. Hapa Afrika hakuna silaha inauzwa gizani kwamba isijulikane, isipojulikana basi haina maajabu ya kuibua mjadala.LaRosa mnyarwanda huyu,kawavuruga wabongo hapa wanamwaga povu la maana.
Vita ni mbinu,jeshi bora na zana za kisasa,nasikia Rwanda wanamiliki drones za kivita ila sina hakika kama kweli wanazo.Tanzania hata tetesi za kumiliki izo drones sijawai kusikia ingawa uwenda zipo.
Rejea vita vya Armenia na Azerbaijan drones zilivyomaliza kazi asubuhi na mapema.mwenzio aje na drones alafu wewe njoo na askari wanaovunja matofali kwa kichwa alafu mkutane kwenye war scale uone chamtemakuni.
Kumbuka hapa unaizungumzia Rwanda isiyo na jet fighter hata moja. Yani wana ndege za kusafirishia tuvifaa na wanajeshi, helicopter chache na trainers, basi. Hela ya kununua na kuoperate fighter jets hawana, hawana uwezo wa kushambulia anga la adui labda watumie helicopter ambazo hazivuki range ya 400km. Wanasubiri ukawashambulie angani ndio wajitetee na radar zao hafifu, sasa kama unajua madhara ya defensive warfare ndio turudi kusema ni maajabu gani wanayo jeshi la Rwanda la wapigapichaLaRosa mnyarwanda huyu,kawavuruga wabongo hapa wanamwaga povu la maana.
Vita ni mbinu,jeshi bora na zana za kisasa,nasikia Rwanda wanamiliki drones za kivita ila sina hakika kama kweli wanazo.Tanzania hata tetesi za kumiliki izo drones sijawai kusikia ingawa uwenda zipo.
Rejea vita vya Armenia na Azerbaijan drones zilivyomaliza kazi asubuhi na mapema.mwenzio aje na drones alafu wewe njoo na askari wanaovunja matofali kwa kichwa alafu mkutane kwenye war scale uone chamtemakuni.
Tatizo wanekimbilia wapiMagaidi wamesha ukimbia muji wa afungi kwa sasa! Hari iko shwari,soon raia watarudi kwenye makazi yao. SADC bado wana panga mabegi kwenda ku saidia mwanachama.
View attachment 1884673
View attachment 1884674
View attachment 1884675
View attachment 1884676
View attachment 1884677
View attachment 1884678
View attachment 1884679
View attachment 1884680
View attachment 1884681
View attachment 1884682
View attachment 1884684
View attachment 1884685
Labda wakukojozee wewe na mkeo ndanRwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Mwambie huyo kinaboKwani Tanzania iliruhusiwa kwenda cabo del gado? Majeshi yetu yalikuwa yanalinda mpaka wake tu.. hayakupewa kibali cha kuingia
Anaujua mtiti wake kipind cha m23 tuliwafanya nini. Jw walinyoshaa mstariWewe unaongea kwa hisia tu, Rwanda hakuna nchi anayoiogopa kama TZ bila sisi Congo East ingekuwa ishamezwa na Kagame
Wakija bongo watapigwa had wachakaeAchana na chama kinachoitwa SADC aisee! Yani Gaidi anaweka HQ na airport Macimboa da praia mwa bahari ya hindi na kupata supply,sasa tujiandae kusikia wamehamia Tanzania na kuweka HQ yao soon.maana hii Macimboa da praia ndio base waliobakinayo tu! Na hawana nyingine ya kukimbilia tofauti ta Tananzania.
Kwenda zako kichwa boga. Kamasi zilizowatoka DRC ulizifuta wewe? Magu RIP wakati anaingia alikwambia ana kazi ya kulificate jeshi .ukiona modernisation ya nchi usidhani jeshi linaachwa kibudu. So kama huna imani na nchi yako kakojoe ulale.mambo ye jeshi letu huwa hayawekwi hadharani ila njoo ujaribu uone.Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Umeisahau KenyaRwanda amiliki drones zipi? Kwani drones zinauzwa kwa siri mpaka taasisi kama Jane's Defense na SIPRI zisijue. Hapa Afrika nchi zinazomiliki drones ni kama Nigeria, Egypt, Morocco wengine sikumbuki ila Rwanda haipo. Hapa Afrika hakuna silaha inauzwa gizani kwamba isijulikane, isipojulikana basi haina maajabu ya kuibua mjadala.
Drones hazikwepeki kwa sasa. Sasa kama unasema zile man portable ambazo hazifiki hata bei ya milioni 100 sijui la ajabu ni lipi
Acha kuubagaza uwezo wa jeshi letu..Ka nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?
Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Hapo ss huku sadc wakijipanga kwenda rdf wamemaliza pambano kwa style ya TysonMagaidi wamesha ukimbia muji wa afungi kwa sasa! Hari iko shwari,soon raia watarudi kwenye makazi yao. SADC bado wana panga mabegi kwenda ku saidia mwanachama.
View attachment 1884673
View attachment 1884674
View attachment 1884675
View attachment 1884676
View attachment 1884677
View attachment 1884678
View attachment 1884679
View attachment 1884680
View attachment 1884681
View attachment 1884682
View attachment 1884684
View attachment 1884685
Mkuu, Unachat ukiwa umelala..?Nafurahia nchi Rwanda imekaribia kuwa super military Power hapa East Africa. [emoji2]