Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Narudia, Tanzania haiwezi kuchokozana na kata, ni kujidhalilisha. Itoshe kusema hivyo, Rwanda sio Israel wala sio uingereza, ni makapuku wanuka mikojo, waliowahi kutujaribu wanaweza kuwa source nzuri ya taarifa kwako.
 
Haki zipi hao jamaa wamedhulumiwa?
kwani mahakama hazipo? kwanini msiwapeleke mahakamani kot iamue ikiwa ni magaidi kweli! mnajuaje kuwa huyu ni gaidi na si raia mwema tu au kisa ana ndevu na amevaa pajama ndiyo anakuwa gaidi? .
kinachofanya muwaue sio ugaid bali uislamu wao.
mnachuki na Uislam na waislamu.
waislamu tumekuwa watu wa kuonewa kila k
ona na dunia ipo kimya.
ALLAH ATUFANYIE WEPESI WAJA WAKE.
 
Kati ya jeshi na Hao wahuni nani aliyeanza mauaji? Yaani uue utegemee ukamatwe upelekwe mahakamani? Risasi hujibiwa kwa Risasi.

Nikusaidie tu, haww wala hawapiganii Uislam, ni siasa na biashara.
 
Kati ya jeshi na Hao wahuni nani aliyeanza mauaji? Yaani uue utegemee ukamatwe upelekwe mahakamani? Risasi hujibiwa kwa Risasi.

Nikusaidie tu, haww wala hawapiganii Uislam, ni siasa na biashara.
Na hao jamaa kabla ya kupigwa risasi inatakiwa mbwa wawaphile Kwanza were wakiridhika baadae watwangwe risasi kazi iishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…