Embu acha kuongea kauli za kulishwa we we.Kwa hiyo kwa uelewa wako mkubwa jeshi letu ndio liliwakimbiza m23? Hakuna nchi nyingine?hakuna maombi ya umoja wa mataifa kuziomba nchi fulni ziungane ziwany'anganye silaha? Hivi unajua kua hao m23 inasemekana Kagame alikua anawapa suport kimya kimya ila yeye akawa anakan hizo shutma? Yani mmesha mfanya superstar kwa kumuongelea sanaaa! Its means mnamuogopa sio? Kama jamaa anafanyia nchi yake makubwa ndani myaka 27 tu,sisi tupo tu myaka almost inakua 70 baada ya uhuru ila bado maneno tu!. Mungu kasema;
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people. Yeye anachapa kazi sisi tunaongea.
Uache kukaa na watoto wenzako kudanganyana nao ktk maskani za matofali.
Kagame ana kipi kikubwa kafanya mpk useme ndani ya miaka 27 kafanya makubwa kuliko kiongozi wa Tz au kuliko Tz??
Au ushasahau km bado kagame ni kiongozi mwenye ukabila anayependelea kabila lake kuliko yaliyobakia??
Au unadanganywa kwa zile laptop chache zilizogaiwa kwa wanafunzi baadhi huko Rwanda???
Rwanda ina nini cha maana???
Tanzania literacy rate kubwa,ina hospitali ya moyo yapili Afrika baada ya South Afrika,ina reli yenye mtandao mkubwa Afrika mashariki ,ina vituo vya afya toshelezi,ina GDP kubwa ambayo Rwanda anaingia zaidi ya mara tano.
Embu acha kujidanganya kuwa eti kagame kiongozi mzuri futa huo uzwazwa.
RIPOTI MAALUM ZINAZUILIWA ZISITOKE NJE YA RWANDA.
NADHANI KIPINDI KILE CHA CORONA UNGEONA HALI HALISI YA RWANDA WENGI WAO HAWAIJUI KEKI YA TAIFA.