Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Kwa hiyo kwa uelewa wako mkubwa jeshi letu ndio liliwakimbiza m23? Hakuna nchi nyingine?hakuna maombi ya umoja wa mataifa kuziomba nchi fulni ziungane ziwany'anganye silaha? Hivi unajua kua hao m23 inasemekana Kagame alikua anawapa suport kimya kimya ila yeye akawa anakan hizo shutma? Yani mmesha mfanya superstar kwa kumuongelea sanaaa! Its means mnamuogopa sio? Kama jamaa anafanyia nchi yake makubwa ndani myaka 27 tu,sisi tupo tu myaka almost inakua 70 baada ya uhuru ila bado maneno tu!. Mungu kasema;

Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people. Yeye anachapa kazi sisi tunaongea.
Embu acha kuongea kauli za kulishwa we we.
Uache kukaa na watoto wenzako kudanganyana nao ktk maskani za matofali.
Kagame ana kipi kikubwa kafanya mpk useme ndani ya miaka 27 kafanya makubwa kuliko kiongozi wa Tz au kuliko Tz??
Au ushasahau km bado kagame ni kiongozi mwenye ukabila anayependelea kabila lake kuliko yaliyobakia??
Au unadanganywa kwa zile laptop chache zilizogaiwa kwa wanafunzi baadhi huko Rwanda???
Rwanda ina nini cha maana???
Tanzania literacy rate kubwa,ina hospitali ya moyo yapili Afrika baada ya South Afrika,ina reli yenye mtandao mkubwa Afrika mashariki ,ina vituo vya afya toshelezi,ina GDP kubwa ambayo Rwanda anaingia zaidi ya mara tano.
Embu acha kujidanganya kuwa eti kagame kiongozi mzuri futa huo uzwazwa.
RIPOTI MAALUM ZINAZUILIWA ZISITOKE NJE YA RWANDA.
NADHANI KIPINDI KILE CHA CORONA UNGEONA HALI HALISI YA RWANDA WENGI WAO HAWAIJUI KEKI YA TAIFA.
 
La kujiuliza je hawa magaidi wamekimbiia wapi!?
Haiwezekani kuwa wmejichanganya uraiani kuwazubaisha wanamgambo na kujipanga upya!?
Na hapo ndipo walipofeli, kwasababu wanaona kama wamemaliza kazi wakati wameingia kwenye miji wamekuta miji mitupu magaidi wamekimbia, na kuondoka kwenye miji hiyo wengine wamejichanganya na raia wa kawaida wakisoma upepo kwanza, wakati Rwanda wakishangiria ushindi kuna kitu kinakuja tuendelee kusubiri. Magaidi wameamua kujificha na kukaa kimya wakiusoma mchezo. Guerilla warfare haiwezi kumalizika kijinga hivyo!
 
Rwanda huenda ikawa ndio nchi yenye jeshi Bora la ardhini katika ukanda wote wa sadc.Kitu ambacho sadc imeshindwa kufanya miaka na miaka,Rwanda imefanya kwa wiki chache!
 
Nilishawahi kuishi Rwanda anijua military capability yao.
inaonyesha ni shabiki mzuri wa Rwanda kwa jinsi unavyoongea.
Kwakuwa umekaa Rwanda tu ndio unajua uwezo wao sababu nyepesi sana Hio. Labda maumbo mazuri na sura nzuri za wanawake wanyarwanda nitakubaliana na wewe
 
Rwanda huenda ikawa ndio nchi yenye jeshi Bora la ardhini katika ukanda wote wa sadc.Kitu ambacho sadc imeshindwa kufanya miaka na miaka,Rwanda imefanya kwa wiki chache!
vita ya Msumbiji kiundani zaidi inahusu watu wa eneo hilo kusahaulika kiuchumi magaidi wameingilia Kati kujionyesha wanaweza kutatua matatizo yao .
mtafaruku wa renamo na frelimo ni wa muda mrefu , mojawapo ya malengo ya sadc au mapendekezo ya awali yalikuwa kutatua mgogoro kwa mazungumzo hata raisi chisano alipendekeza mazungumzo.
Vijana wa maeneo hayo walikosa ajira halafu kuna uwekezaji mkubwa wa gesi na madini kwenye ukanda wenye utajiri mkubwa wa maliasili .
Msumbiji naona haikupenda mazungumzo ikaenda kwa Rwanda .
Bado suluhisho la muda mrefu sio vita bali watu wa huko wapate ajira wafaidi matunda ya Uchumi.
Hata hospitali kubwa Hakuna huko miji ya Mozambique inayopakana na Tanzania hali ya uchumi ni tete wanategemea hospitali za Tanzania .

Kama sadc ( Afrika kusini , Tanzania ) wako DRC na wamedhibiti waasi wa m23 na magaidi wa adf Kwenye nchi kubwa na yenye Misitu mikubwa hawawezi kushindwa eneo dogo la msumbiji na vikundi vidogo .
Vita ya Kongo ni kubwa yapo mataifa mengi yalileta vurugu kuiba Mali ya kongo , sasa kama inadhibitiwa kuna vita gani kubwa zaidi ya hio
 
Na hapo ndipo walipofeli, kwasababu wanaona kama wamemaliza kazi wakati wameingia kwenye miji wamekuta miji mitupu magaidi wamekimbia, na kuondoka kwenye miji hiyo wengine wamejichanganya na raia wa kawaida wakisoma upepo kwanza, wakati Rwanda wakishangiria ushindi kuna kitu kinakuja tuendelee kusubiri. Magaidi wameamua kujificha na kukaa kimya wakiusoma mchezo. Guerilla warfare haiwezi kumalizika kijinga hivyo!

Sadc tangu 2017 mpk leo walikua wanakusanya intellijensia hahahah
 
Ka nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?

Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
ndo ujuage kwann kongo mtanange hauishagi
 
Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.

Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.

Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?

Mungu tunusuru! [emoji848]
Sikuungi mkono ,unacho kufikiri hata Rwanda wenyewe hawafikirii
 
Kuna kitu nimekigundua kijasusi
Hili kuonekana tanzania ikiingia watasambalitaka kurudi huku kama kibiti.ndio maana wametumia kijografia kutuma rwanda kusambaratisha.
Wakirudi tanzania na mipaka ya nchi zinazozunguka mingine watafinywa kitaalamu zaidi bira kutumia nguvu sana
Nadhani ndio maana na mkuu wa mkoa wa Mtwara alitolewa mambo ya nje akaletwa huko.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Embu acha kuongea kauli za kulishwa we we.
Uache kukaa na watoto wenzako kudanganyana nao ktk maskani za matofali.
Kagame ana kipi kikubwa kafanya mpk useme ndani ya miaka 27 kafanya makubwa kuliko kiongozi wa Tz au kuliko Tz??
Au ushasahau km bado kagame ni kiongozi mwenye ukabila anayependelea kabila lake kuliko yaliyobakia??
Au unadanganywa kwa zile laptop chache zilizogaiwa kwa wanafunzi baadhi huko Rwanda???
Rwanda ina nini cha maana???
Tanzania literacy rate kubwa,ina hospitali ya moyo yapili Afrika baada ya South Afrika,ina reli yenye mtandao mkubwa Afrika mashariki ,ina vituo vya afya toshelezi,ina GDP kubwa ambayo Rwanda anaingia zaidi ya mara tano.
Embu acha kujidanganya kuwa eti kagame kiongozi mzuri futa huo uzwazwa.
RIPOTI MAALUM ZINAZUILIWA ZISITOKE NJE YA RWANDA.
NADHANI KIPINDI KILE CHA CORONA UNGEONA HALI HALISI YA RWANDA WENGI WAO HAWAIJUI KEKI YA TAIFA.
[emoji122][emoji122][emoji846]big up mkuu hivi hawajui ukubwa wa hili li nchi jmn
 
Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.

Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.

Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?

Mungu tunusuru! [emoji848]

Bado unaendelea kuota? Afrika Mashariki ukiona nchi yoyote imenunua mfumo wa kujilinda basi tambua jirani yake amenunua Mfumo wa kushambulia, kama hulielewi hili weka akilini.
Endelea kuota.
 
Na hapo ndipo walipofeli, kwasababu wanaona kama wamemaliza kazi wakati wameingia kwenye miji wamekuta miji mitupu magaidi wamekimbia, na kuondoka kwenye miji hiyo wengine wamejichanganya na raia wa kawaida wakisoma upepo kwanza, wakati Rwanda wakishangiria ushindi kuna kitu kinakuja tuendelee kusubiri. Magaidi wameamua kujificha na kukaa kimya wakiusoma mchezo. Guerilla warfare haiwezi kumalizika kijinga hivyo!

Yeah, uwezo wako wa kufikiri upo vizuri, sina hakika kama hao ***** wanaodhani shughuli imeisha watakuelewa
 
Back
Top Bottom