Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Ila Tanzania tulikuwa na propaganda Mara tunaongoza kwa Vita ya chini Duniani!?

Mara sisi Ni wa pili Duniani kwa intelligensia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Enzi za Mwl it was funny.
Hebu jiulize Tanzania wapi utafanya kitu usijulikane? Serekali ipo kila kona tofauti na kwingine utasikia hata ndege imepotea hakuna taarifa
 
Yaani Rwanda warisk maisha ya watoto wao kupigania maslahi ya ufaran

GDP ya nchi haiji kwa kulima mpunga au korosho aiseee! Hizo mission zina ingizia ile nchi kinoma sana,yani ikitokea deal ya kulinda amani Rwanda ndio inakuaga first nominated.ka check ni ya ngapi kua na wanajeshi wengi duniani walinda amani? Iko top 5.
 
Nyie endelea na ubishi wenu,sijui nani mkali?nani mwenye uwezo? Eti ka nchi kama kariakoo! Tunaweza tukawa millions for nothing ila one or two people wa kafanya mambo makubwa. Mie kazi yangu ni kuwapa updates. Check video hapo chini how smart and professional they are!. Remember how big israel is but midle east wanachakazwa everyday.



 

Attachments

  • twitter_20210806_194859.mp4
    11.6 MB
Ka nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?

Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Kwani Tanzania iliruhusiwa kwenda cabo del gado? Majeshi yetu yalikuwa yanalinda mpaka wake tu.. hayakupewa kibali cha kuingia
 
Hiki ndio nilichokuwa najaribu kuwaambia washkaji... It's not about the population and it's about the Quality and the sophistication of the mentality.
 

Your browser is not able to display this video.
 
Unaifahamu A100, je pia unaifahamu range yake, nenda kasome ukishapata jibu ndio ukae chini ukiwa umeshiba uongee huu utumbo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…