Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Kila aliyepo bungeni leo hadi spika wanaona ni sawa DP world kupewa bandari, na hakuna kipengele tata kwenye mkataba( makubaliano kama wanavyoita) yaani vifungu vyote vipo sawa tu, hakuna hata mmoja anayena kuna tatizo hata moja.
"Uchangiaji waoleo upo hivi, Serikali ina njema na nchi...., watanzania msiwasikilize wanaopinga wana maslahi na huduma zinazotolewa sasa ivyo wanapotosha kwa maslahi yao, Tumpongeze Rais kwa kuamua kuinua uchumi, Dp world itatupeleka kule serikali ya CCM inataka twende" Kifupi wapo kuitetea CCM na Serikali yake hawapo kwa ajili ya kupaza sauti za wananchi na wasiwasi uliopo kwa wananchi juu ya uwekezaji au ubinafsishaji huu.
Hivi bunge lipo kwa ajili ya kupeleka hoja za wananchi ili zijibiwe na kuondoa utata na pia pale wanachi wanapokuwa wanahitaji jambo fulani ili litekelezwe au wapo kwa ajili ya kuchukua matakwa ya serikali na kuyaleta kipropaganda ili wananchi waamini kile serikali inataka? Kidogo bunge hili linanivuruga sijui lipo kwa ajili ya serikali au wananchi? Hivi linamwakilisha nani mwananchi au Serikali?
Hakukua na haja ya kinachoendelea bungeni maana ni porojo tu, mara waingie instergram, mara wapige zogo mara waongee na simu na kisha wanapiga makofi kupongeza ovyo kabisa.