Mchezo wa draft na sheria zake

ndio inawezekana kufika king bila kuliwa kete hiyo inatokea kwa kupigwa force lakini wewe unaefika king unakua umekula ila mpinzani wako anakua hajala.
 
Mkuu inawezakana sana kwa maana wewe kama hujala kete yake ukimpiga force king ili uue king yake na hauna ya kumvalisha hapo mpinzani wako anakuwa kashinda kwa sheria kwa mchezo hauendelei mpaka umvalishie king yake
Anhaa,
Sasa nakuelewa.
Maana scenario aliyokua akiizungumzia mleta mada ni kama vile mimi/yeye/wewe ndio umeingia King then mpinzani wako hana ya kukuvisha.

Kumbe hapa tunazungumzia scenario tofauti kua Mpinzani wako ndie ameingia king ambayo umemuingiza wewe mwenyewe kisha wewe ndio huna kete ya kumvisha. Kama unajua kabisa itakua game Over basi hii technique usiitumie mwanzoni.

Otherwise kimtaani naonaga tu kama wanatumia visoda basi wanavigeuza juu chini.
 
we ni muongo kwnz inaonekana hujui hata maana ya foce king!!umekariri tu force king
 
umemaliza huwezi kufika kingi bila mtu kula kete labda kete zako ziwe na mabawa
 
Its almost impossible,kwa wachezaji mahiri hasa kwenye French game, wanapenda kuzipunguza kete kwa kulana ili kuwahiana steps....au aweze kukupunja kwahiyo kwa namna yoyote lazima agawe kete...

Nisawa sawa na kusema unaweza kuuza bila kutumia cost yoyote nadhani ni lazima uwekeze kiasi Fulani kwanza
 
Unatumia kete za namna gan?, kinachotofautisha king na kete zngne ni kuipa utofauti iyo kete(king) sis tunatumia vzibo vya chupa so king tunaitambua kwa kuifunua kete
 
ndio mkuu force king maana yake ni kwamba ninakupa kete (1) unaingia king kisha naitega ile king ili nami (2) niingie king,sasa hapo kete ya kuvika nitaikosaje.
Nimekuja kumuelewa kua ukishampa kete ale aingie King (scenario #1) , wewe utakua huna ya kumvisha yeye,
Sio yeye akose kete ya kukuvisha wewe (Scenario #2)
 
Unatumia kete za namna gan?, kinachotofautisha king na kete zngne ni kuipa utofauti iyo kete(king) sis tunatumia vzibo vya chupa so king tunaitambua kwa kuifunua kete
za kuchanga kwa mbao au za plastik zilizotengenezwa kwa mashine
 
ndio mkuu force king maana yake ni kwamba ninakupa kete unaingia king kisha naitega ile king ili nami niingie king,sasa hapo kete ya kuvika nitaikosaje.
inatokea sometime unakua hujale kete hata moja
 
Mkuu inawezakana sana kwa maana wewe kama hujala kete yake ukimpiga force king ili uue king yake na hauna ya kumvalisha hapo mpinzani wako anakuwa kashinda kwa sheria kwa mchezo hauendelei mpaka umvalishie king yake
hapo sawa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…