M4TYDACLEVER
Member
- Jun 8, 2013
- 86
- 44
- Thread starter
- #21
ndio inawezekana kufika king bila kuliwa kete hiyo inatokea kwa kupigwa force lakini wewe unaefika king unakua umekula ila mpinzani wako anakua hajala.Tena Force King ndio haiwezekani,
Maana lazima umpe yeye ale kete yako ili umvute kwenye 18 zako ndio umkule mpaka King.
Hivi ki ualisia tu kila mtu ana kete zake 12 zilizokaa upande wake, mtapishana pishana vipi mpaka ufike King bila kulana aisee? Labda nikuulize swali, unasema inawezekana wewe kutoliwa mpaka ukafika king, je na yeye atakua pia hajaliwa?