Mchezo wa draft na sheria zake

Aseee natamani nikutane nayo nione inakuaje
 
Unajua draft inaishaje kweli mkuu au hulijui???? Draft haliishi kwa wewe kushindwa kumvalisha King mpinzani wako bali mpaka pale amabapo either kete zako zote zimeliwa au zipo sehemu ambayo haziwezi kucheza la sivyo ukicheza tu zinaliwa
Kuna scenario zikitokea draft linakuw limeisha hapo hapo
Mfano mpinzani wako akibwaga kete pasipo maelewano yoyote lets say draft linaelekea sare lazima mpinzani wako mkubaliane ikiwa atabwaga kete bila ya makubaliano hapo amefungwa

Nyengine ni hii aliyoleta muanzisha thread,ukimpiga mpinzani wako force king then huna ya kumvalisha apo umefungwa
 
safi sana hata mimi nawapi nayo sana ambao hawajui ukimwambia valisha kwanza panachimbika na hiyo inatokana na kutokujua lakini baadae ukimwelewesha anakuelewa ndio maana uzi huu upo hapa kwa ajili ya kueleweshana.
 
pamoja bro
 
Una geuza ile kete yako ilyo ingia king ina kua chini juu, juu chini lakin hata hivyo hauwez ingia king bila ya kuwa mme kulana walau hata kete mojamoja
 
Ukiwa ni mchezaziji wa mara kwa mara wa hili game lazima utakutana hizo incidents hasa kwa wale wanajifunza, ila sometimes inatokea mmoja wapo kete zake za kuvisha zimeisha , ni kweli kete mmekula lakini tayari mmevishana na zimeisha.
 
Duuuu

Hii nayo ni mpya yaan uweke kingi tuseme tano bado hujamaliza game...utakuwa mbovu Wa kwanza kupatikana.
Maana draft ya kete 12 kwa 12... Kwa wale wasojua unampiga hata bila kweda kingi.
Ukikutana anayejua kingi 3 zinatosha.
Sasa kingi 3 hajala hizo 3 tu?
 
Una geuza ile kete yako ilyo ingia king ina kua chini juu, juu chini lakin hata hivyo hauwez ingia king bila ya kuwa mme kulana walau hata kete mojamoja
hautakiwi kugeuza unatakiwa kuvalisha sio kote wanatumia hivyo visoda vya kitoto
 
Duu nimekaa Na draft hapa nimeangalia sana lkn haiwezekan mpinzani asile hata 1 kabla ya we kufika kingi maana hutapata njia
Inawezekana sana kama mnacheza mchezo wa kubanana itafika mahala utaishiwa ya kucheza na kuanza kugawa kete mpaka mtu anafika king bila wew kula kete yeyote na hii inatokea kama mafundi wawili wanacheza au hutokea mmoja ni fundi mwingine kilaza zaidi hajui vizuri ila ni rahisi zaidi kwa mafundi wawili wote wanaojua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…