Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Aseee natamani nikutane nayo nione inakuajebasi hujawah cheza kwe kiwango cha juu brother,wanaopiga mbao kisawasawa kwa miaka yote lazima ukutane na hio situation ingawa ni maea chache sana mi nmeanza kucheza 2004 lkn nmekutana nayo mara mbili tu,ya kwanza nlifungwa ya pili na mm nkamfunga jamaa nlimkomalia avalishe kingi yangu akabaki katoa macho tu