Mchezo wa draft na sheria zake

Mchezo wa draft na sheria zake

Awali nilkuwaga sijui kuhusu hiyo sheria, nilmpiga mpinzani wangu fosi kingi ya maana wakati sote tukiwa na kete zote kumi na mbili kwa sababu sikuwa nimekula kete yake hata moja nikakosa ya kumvalisha kingi yake mpinzani akagoma kuendelea na mchezo akidai king yake itambuliwe na mchezo ukaishia apo! Kwa maana hiyo mpinzani wako akifika king ba we hujala kete yake hata moja anakuwa ameshinda kwa sheria za mchezo wa draft
Sasa anafikaje na njia zote zimebana ikishakuwa force ina maana amekupa kete kukulazimisha ndio maana inaitwa force king. Labda hapa mmoja awe hajui kilaza kabisa wa draft awe anaachia nafasi tu mwenzake apite na kete. But kwa mtu mwenye idea ya kula kidogo huwezi miaka 100
 
Mkuu inawezakana sana kwa maana wewe kama hujala kete yake ukimpiga force king ili uue king yake na hauna ya kumvalisha hapo mpinzani wako anakuwa kashinda kwa sheria kwa mchezo hauendelei mpaka umvalishie king yake
Kwani inachomvisha ni nni?? Si kete yoyote uliyonayo mkononi sasa utakosaje
 
Anhaa,
Sasa nakuelewa.
Maana scenario aliyokua akiizungumzia mleta mada ni kama vile mimi/yeye/wewe ndio umeingia King then mpinzani wako hana ya kukuvisha.

Kumbe hapa tunazungumzia scenario tofauti kua Mpinzani wako ndie ameingia king ambayo umemuingiza wewe mwenyewe kisha wewe ndio huna kete ya kumvisha. Kama unajua kabisa itakua game Over basi hii technique usiitumie mwanzoni.

Otherwise kimtaani naonaga tu kama wanatumia visoda basi wanavigeuza juu chini.
Kwenye kete unavalishwa kete nyingine juu.
 
Ikitokea hvyo japo ni nadra sana,njia ya kwanza kama mnachwzea kete za visoda/vizibo vya chupa za maji/soda utatakiwa kuigeuza king yako juu chini,lengo ni ilete utofauti na kete zingine.
Sheria nyingine ni kukubali umefungwa pale unapokua na king moja na mwenzio ana kingbili na kete mbili alafu ana miliki Ikweta,kwa wachezaji haswa watakua wamenielewa..
 
Ukiskia mchezo amabao umenishinda
N huu wa draft hua c uelewi
kabsa nmejitahid kujifunza nielewe
Lkn wap

Cjui hata unaazia wap na kuishia
Wap
Ukiona hvyo jua wewe sio mwanaume kamili!! Haya ngoja nikutoe huko nikupekele kwenye pool table looser hapo vipi mzee?
 
Ikitokea hvyo japo ni nadra sana,njia ya kwanza kama mnachwzea kete za visoda/vizibo vya chupa za maji/soda utatakiwa kuigeuza king yako juu chini,lengo ni ilete utofauti na kete zingine.
Sheria nyingine ni kukubali umefungwa pale unapokua na king moja na mwenzio ana kingbili na kete mbili alafu ana miliki Ikweta,kwa wachezaji haswa watakua wamenielewa..
kama hauchezei visoda je? watu wanachea plastiki zilizotengenezwa kwacha mashine au vibao vilivyochongwa
 
Unapanguaje zile row tatu mpaka uingie king kavukavu
Almost impossible unless unacheza na pimbi
Nitafute nitakufundisha. Inaonyesha hujui draft. Hiyo kitu alipigwa jamaa mmoja kinondoni kwa manyanya. Alikuwa wa mkoani hajui akadhani anampiga force king. Kumbe unaachwa tu uipige hiyo force. Unampa kete 3 halafu unafika king. Ili akupige force aiue na king yako. Sasa unamwambia nivishe. Hana ya kukuvisha. Basi ni goli umeshinda. Jaribu kutembea na ujifunze copy nyingi nyingi siyo upo tu hapo unasema unajua. Mtafute Nduli, Noel, Sir bedui, au dogo janja
 
Huu mchzo naupenda ila kla nikijtahd sifikii viwango mpaka nimedownload ili nijue vzur
 
Nitafute nitakufundisha. Inaonyesha hujui draft. Hiyo kitu alipigwa jamaa mmoja kinondoni kwa manyanya. Alikuwa wa mkoani hajui akadhani anampiga force king. Kumbe unaachwa tu uipige hiyo force. Unampa kete 3 halafu unafika king. Ili akupige force aiue na king yako. Sasa unamwambia nivishe. Hana ya kukuvisha. Basi ni goli umeshinda. Jaribu kutembea na ujifunze copy nyingi nyingi siyo upo tu hapo unasema unajua. Mtafute Nduli, Noel, Sir bedui, au dogo janja
KWA KINA MAGILALU
 
Back
Top Bottom