Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Nimeanza kujifunza draft nikiwa nina miaka 12 tu!
Nilikuwa fundi rasmi katika umri mdogo sana kipindi nina miaka 15 nilishinda mashindano yote ya mtaani.!
Akili yangu kuchoka mpaka nicheze na wazee wanaojua angalau wa 5 hapo itachoka!
ilifika time nikawa maarufu mtaani kwaku wafunga ma master nikiwa chalii
Nakumbuka kuna mzee walimtoa mtaa mwengine kwani alikua fundi sana! ndani ya michezo minne nilimfunga supa 3 na sare moja! kisha nika mwambia hiyo sare ndio goli lako ghafla mzee alianza kulia hii ndio kumbukumbu yangu kubwa katika huu mchezo.