Mchezo wa draft ulimtoa machozi babu

Mchezo wa draft ulimtoa machozi babu

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Nimeanza kujifunza draft nikiwa nina miaka 12 tu!

Nilikuwa fundi rasmi katika umri mdogo sana kipindi nina miaka 15 nilishinda mashindano yote ya mtaani.!

Akili yangu kuchoka mpaka nicheze na wazee wanaojua angalau wa 5 hapo itachoka!

ilifika time nikawa maarufu mtaani kwaku wafunga ma master nikiwa chalii

Nakumbuka kuna mzee walimtoa mtaa mwengine kwani alikua fundi sana! ndani ya michezo minne nilimfunga supa 3 na sare moja! kisha nika mwambia hiyo sare ndio goli lako ghafla mzee alianza kulia hii ndio kumbukumbu yangu kubwa katika huu mchezo.
 
Mkuu hivi ulishajaribu kucheza dalmax checker na ukaweka difficult 100% kama bado hebu jaribu kisha utajitathimini
 
Hujafanikiwa kurogwa?
 
Mkuu hivi ulishajaribu kucheza dalmax checker na ukaweka difficult 100% kama bado hebu jaribu kisha utajitathimini
Sawa! nashukuru angalau naweza nikapata challenge niliyo ikosa kwa muda mrefu!
 
Nimeanza kujifunza draft nikiwa nina miaka 12 tu!

Nilikuwa fundi rasmi katika umri mdogo sana kipindi nina miaka 15 nilishinda mashindano yote ya mtaani.!

Akili yangu kuchoka mpaka nicheze na wazee wanaojua angalau wa 5 hapo itachoka!

ilifika time nikawa maarufu mtaani kwaku wafunga ma master nikiwa chalii

Nakumbuka kuna mzee walimtoa mtaa mwengine kwani alikua fundi sana! ndani ya michezo minne nilimfunga supa 3 na sare moja! kisha nika mwambia hiyo sare ndio goli lako ghafla mzee alianza kulia hii ndio kumbukumbu yangu kubwa katika huu mchezo.
Wewe ulikuwa unawaokota vibonde wenzako kisha unajiita bingwa.
 
Hao walimu wao walijipachika tu majina ya ualimu.
Maana kwenye mchezo wa draft hata aliyejifundisha leo atajiita bingwa au mwalimu.
Hahahaa! najua mkuu lakini kwangu mimi ilifika kipindi nikicheza naona nacheza marudio ya michezo ya nyuma. Yaani mfano nilifungwa najua nilikosea hapa' ko nicheze hapa nitatoa sare

SASA IMAGINE!
 
hiyo ishu ya kawaida sana.
Hivi upo wapi nikualike kwenye vijiwe vya watabe ili ujidhihirishie kuwa wewe ni mwanafunzi.
Hahahaa! najua mkuu lakini kwangu mimi ilifika kipindi nikicheza naona nacheza marudio ya michezo ya nyuma. Yaani mfano nilifungwa najua nilikosea hapa' ko nicheze hapa nitatoa sare

SASA IMAGINE!
 
Nyie mnao jiita wacheza draft ebu njooni hapa dodoma naeneo ya soko kuu majengo/chabela camp mkutane na wauaji. Hapa ukikutana na mtu kama kwata mwivi lwambano, nduli dulima, mnyama Ronardo, Hemed gaidi n.k, sare ndo ushindi wako.
 
Back
Top Bottom