Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Ku-ma--anisha hujaelewa?So!!!?
mkuu nimezungumzia tukio nisilo lisahau. sio kwamba najisifia kufunga supa..! maana nimewafunga wengiUkiona mcheza draft Bado anasema alishinda supa huyo sio mchezaji aliokomaa labda msukuma kete tuu
Mbeya mkuu!Uko wapi nije nikuchape supa
Mkuu hivi ulishajaribu kucheza dalmax checker na ukaweka difficult 100% kama bado hebu jaribu kisha utajitathiminiNimeanza kujifunza draft nikiwa nina miaka 12 tu!
Nilikuwa fundi rasmi katika umri mdogo sana kipindi nina miaka 15 nilishinda mashindano yote ya mtaani.!
Akili yangu kuchoka mpaka nicheze na wazee wanaojua angalau wa 5 hapo itachoka!
ilifika time nikawa maarufu mtaani kwaku wafunga ma master nikiwa chalii
Nakumbuka kuna mzee walimtoa mtaa mwengine kwani alikua fundi sana! ndani ya michezo minne nilimfunga supa 3 na sare moja! kisha nika mwambia hiyo sare ndio goli lako ghafla mzee alianza kulia hii ndio kumbukumbu yangu kubwa katika huu mchezo.
Hujafanikiwa kurogwa?Nimeanza kujifunza draft nikiwa nina miaka 12 tu!
Nilikuwa fundi rasmi katika umri mdogo sana kipindi nina miaka 15 nilishinda mashindano yote ya mtaani.!
Akili yangu kuchoka mpaka nicheze na wazee wanaojua angalau wa 5 hapo itachoka!
ilifika time nikawa maarufu mtaani kwaku wafunga ma master nikiwa chalii
Nakumbuka kuna mzee walimtoa mtaa mwengine kwani alikua fundi sana! ndani ya michezo minne nilimfunga supa 3 na sare moja! kisha nika mwambia hiyo sare ndio goli lako ghafla mzee alianza kulia hii ndio kumbukumbu yangu kubwa katika huu mchezo.
Kwanini mkuu?Hujafanikiwa kurogwa?
Sawa! nashukuru angalau naweza nikapata challenge niliyo ikosa kwa muda mrefu!Mkuu hivi ulishajaribu kucheza dalmax checker na ukaweka difficult 100% kama bado hebu jaribu kisha utajitathimini
Wewe ulikuwa unawaokota vibonde wenzako kisha unajiita bingwa.Nimeanza kujifunza draft nikiwa nina miaka 12 tu!
Nilikuwa fundi rasmi katika umri mdogo sana kipindi nina miaka 15 nilishinda mashindano yote ya mtaani.!
Akili yangu kuchoka mpaka nicheze na wazee wanaojua angalau wa 5 hapo itachoka!
ilifika time nikawa maarufu mtaani kwaku wafunga ma master nikiwa chalii
Nakumbuka kuna mzee walimtoa mtaa mwengine kwani alikua fundi sana! ndani ya michezo minne nilimfunga supa 3 na sare moja! kisha nika mwambia hiyo sare ndio goli lako ghafla mzee alianza kulia hii ndio kumbukumbu yangu kubwa katika huu mchezo.
ndo hivyo mkuu nimefunga vibonde na walimu waoWewe ulikuwa unawaokota vibonde wenzako kisha unajiita bingwa.
ndo hivyo mkuu nimefunga vibonde na walimu wao
Hahahaa! najua mkuu lakini kwangu mimi ilifika kipindi nikicheza naona nacheza marudio ya michezo ya nyuma. Yaani mfano nilifungwa najua nilikosea hapa' ko nicheze hapa nitatoa sareHao walimu wao walijipachika tu majina ya ualimu.
Maana kwenye mchezo wa draft hata aliyejifundisha leo atajiita bingwa au mwalimu.
Hahahaa! najua mkuu lakini kwangu mimi ilifika kipindi nikicheza naona nacheza marudio ya michezo ya nyuma. Yaani mfano nilifungwa najua nilikosea hapa' ko nicheze hapa nitatoa sare
SASA IMAGINE!
THE GREENCITY Mkuuhiyo ishu ya kawaida sana.
Hivi upo wapi nikualike kwenye vijiwe vya watabe ili ujidhihirishie kuwa wewe ni mwanafunzi.