Mchezo wa draft ulimtoa machozi babu

Mchezo wa kiume huo
Nyie mnao jiita wacheza draft ebu njooni hapa dodoma naeneo ya soko kuu majengo/chabela camp mkutane na wauaji. Hapa ukikutana na mtu kama kwata mwivi lwambano, nduli dulima, mnyama Ronardo, Hemed gaidi n.k, sare ndo ushindi wako.
 
hao ni hatar,dogo sicko vp,Simba wa Dodoma vp,wewe ndo fyatuka mahesabati au
 
Enzi zangu nakumbuka nilipewaga mlimbwende singida,nilikalisha vijiwe vyote vikubwa vya kahawa.
 
Ukiona mtu anakuambia njoo tucheze hapa nikufunge supa huyo hajui darfti. Supa hua linajitokeza tu hakuna anayepanga kua sasa hivi nashinda supa.
 
Hata yanga ni mabingwa wa kihistoria lakin,ni kwa hapa tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…