Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
set the date...[emoji3] [emoji3]
Daaah!!
Naomba mech na mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah!!
Naomba mech na mimi
Itabid iwe mwez wa kwanza ili nikuanzishie mwaka kwa kukufunga.set the date...[emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo nilikuta wanacheza mm nikamuambia babu naomba kujaribu akaniambia mwl hii sio chaki hiiUkichezaa na wazeee kuwa makini unawezz jikute umeondoka na kibusha
set the dateUkichezaa na wazeee kuwa makini unawezz jikute umeondoka na kibusha
Daaah!!
Naomba mech na mimi
namaanisha uhakikishe yeye anakula moja, wewe ukila mbili yeye hali kitu tenaHalafu na yy anamalizia mpja....mnakuwa sawa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila niwe mkweli huyo mzee atakua hajui kitu kabsaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo nilikuta wanacheza mm nikamuambia babu naomba kujaribu akaniambia mwl hii sio chaki hii
haaa...nikamvua msuli Mara mbili
set the date
[emoji3] [emoji3] alikua serious sema si unajua timing tu bao...Ila niwe mkweli huyo mzee atakua hajui kitu kabsaa.
Au alitaka na Genny ufurah kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] enzi hizo draft,bao ndo habari ya mjiniUmenikumbusha mwaka 80 nilipewa mke baada ya kumfunga mzee super akanipa mwanaye hadi leo ndo wife....
Tuseme hesabu na technique zinahitajika.m naona n technique tu
Na wew ukamjibu umeshobokea Zanz ulifikiri maziwa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo nilikuta wanacheza mm nikamuambia babu naomba kujaribu akaniambia mwl hii sio chaki hii
haaa...nikamvua msuli Mara mbili
set the date
akaah!n[emoji23] [emoji23] [emoji23] ilikua mkoa mmoja wa pwani huko..siruduu tenaNa wew ukamjibu umeshobokea Zanz ulifikiri maziwa.
Ila usirudie tena teacher
Unaweza jikuta umelazwa njeeeeakaah!n[emoji23] [emoji23] [emoji23] ilikua mkoa mmoja wa pwani huko..siruduu tena
Au ulimchanganya akiwa ana kuangalia anapoteza mahesabu. Utakuwa ulishinda by default ukamchanganya adui[emoji3] [emoji3] alikua serious sema si unajua timing tu bao...
babu alifadhaika
Hapo sawanamaanisha uhakikishe yeye anakula moja, wewe ukila mbili yeye hali kitu tena
au ule ya bure..teh teh teh
Lipo andika "checkers" utalipataInahitajika umakini tu.. hivi hili gemu la draft kwenye play (google) store lipo