Mchezo wa draft

Mchezo wa draft

Au ulimchanganya akiwa ana kuangalia anapoteza mahesabu. Utakuwa ulishinda by default ukamchanganya adui

Hilo tatizo lisije na mimi likanioata siku ya mech yetu asee.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hayo yako mm simoo
 
Ndio mchezo wangu huo, najua sn draft ila kufundisha na ww ujue ndio shida labda ungekuwa karibu ningekufundisha mitego
Muhumi kinachotakiwa uone mitego ya mwenzio na ww ucheze kete nzuri huku unatega na ujue ukicheza hapa yeye atacheza pale na mm nitacheza hapa yani uone michezo ya hata mitatu ya mbele
 
Hakikisha unapenya uingie king huku ukizilinda kete zako na wakati huo huo unazitega na kizifanyia madhara kete za mpinzani wako
 
Njia rahisi ya kushinda huu mchezo unaenda mbele na kete tatu tatu. Lakini hivi juzi nilikutana na jamaa alikua na mchezo wake unaitwa ebola. Alinipiga nne firster mpaka nimejiuliza. Ni mchezo mzuri
Ha ha ha ha Mkuu iyo Ebola ndiyo ikoje?? Kuna jamaa hapa mtaani ananifunga sana
Nipe formula na Mimi nisumbue watu hapa
 
Ndio mchezo wangu huo, najua sn draft ila kufundisha na ww ujue ndio shida labda ungekuwa karibu ningekufundisha mitego
Muhumi kinachotakiwa uone mitego ya mwenzio na ww ucheze kete nzuri huku unatega na ujue ukicheza hapa yeye atacheza pale na mm nitacheza hapa yani uone michezo ya hata mitatu ya mbele
Sawa mkuu nmekusoma
 
Nchi nyingi wanacheza draft la kwenda mbele na nyuma, lakini kwa Tanzania yapo ya aina mbili, kuna hilo la mbele na nyuma na kuna la mbele tu

We ni mtaalamu wa lipi?

Me ni mtaalamu wa kwenda mbele, na kingi ana uwezo wa kuruka. Linaitwa spanish
 
Anayehitaji mechi namm namkaribisha yeye aweke jiwe mie naweka 10,000 akinifunga yake
 
Ha ha ha ha Mkuu iyo Ebola ndiyo ikoje?? Kuna jamaa hapa mtaani ananifunga sana
Nipe formula na Mimi nisumbue watu hapa

yaani ebola sijui nikueleweshe vipi, kuna ule mchezo wa kufata mstari wa kati kete tatu zote, ila ukikutana na mchezo wa ebola ndo unafungwa haraka sana. Ningekua na muda ningekutengenezea video nikakuonesha unavochezwa
 
moja kati ya michezo inayonifanya nifikirie zaidi kimbinu na kimkakati na kuweka akili zangu sawa
 
Back
Top Bottom