Mchezo wa kibaba baba na kimama mama hatarini kupotea

Mchezo wa kibaba baba na kimama mama hatarini kupotea

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Nina siku ya 4 hapa A-town almaarufu Arachuga ila katika zunguka zunguka yangu mitaani sioni watoto wakicheza michezo hiyo zaidi ya playstation. Jamani wazazi nitoe wito au rai kwenu huu mchezo ni muhimu sana kwa jamii yetu, acheni uzungu wa kuwapa watoto michezo ya playstation na kwenye simu.

Maana sisi ndio imetukuza na jana nimemuona mzazi akimchapa mwanawe kisa ameenda kucheza ukuti ukuti wa nani wa nani, kagongwa na gari, tumpeleke mnazi mmoja...

Leo nitaandaa mchezo wa kula mbakishie baba wale wa Arusha mkuje tuungane kuucheza ili michezo yetu ya kiafrika isipotee jamani! Na pia msiwafungie huko geti kali mnawaaribu kisaikolojia.
 
Huenda hawachezi hiyo nao wana michezo yao mipya.

Ila kina junya wao ni simu na playstation na huwez wabadilisha dad na Mom eti wamruhusu junya akacheze nje si rahisi.
Huoni ule uafrika wetu unapotea kwa kasi sana?
 
Nina siku ya 4 hapa A-town almaarufu arachuga ila katika zunguka zunguka yangu mitaani sioni watoto wakicheza michezo hiyo zaidi ya playstation...
Siku iz watoto wana penda smart phone balaaa ..
 
Nina siku ya 4 hapa A-town almaarufu arachuga ila katika zunguka zunguka yangu mitaani sioni watoto wakicheza michezo hiyo zaidi ya playstation...
Bila hii michezo inatutengenezea vijana wa jamhuri ya vizazi vya hovyo mkuu hii michezo ilitufanya tusiishi kizembezembe km watoto wa sa hv
 
Kombolela [emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] [emoji1] [emoji1787]

Ilikuwaga tamuuuuu
 
nakumbuka kombolela baada kuweka mpira nikaweka jiwe ilikuwa usiku dah niliemtegea hakutokea akaja mdogo wangu dah we acha tu
 
Huenda hawachezi hiyo nao wana michezo yao mipya.

Ila kina junya wao ni simu na playstation na huwez wabadilisha dad na Mom eti wamruhusu junya akacheze nje si rahisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nakumbuka kombolela baada kuweka mpira nikaweka jiwe ilikuwa usiku dah niliemtegea hakutokea akaja mdogo wangu dah we acha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliipata fresh eeeh. Hakutoa kucha?
 
Huo mchezo ulikuwa na faida gani zaidi ya kula tunda kimasikhara
 
Daa kombolela nakumbuka nilienda jificha na binti mmoja sa hivi ni mama wa watoto watatu ... Hatukuonekana Hadi kesho yake ilifika muda ni too late Kila mtu akaenda tu kwao
 
Huo mchezo ulikuwa na faida gani zaidi ya kula tunda kimasikhara
Ilikuwa na faida sana kwanza ilikuza ujamaa wetu na udugu ila saivi mtoto anafungiwa ndani utazani uchi!
 
Nina siku ya 4 hapa A-town almaarufu arachuga ila katika zunguka zunguka yangu mitaani sioni watoto wakicheza michezo hiyo zaidi ya playstation. Jamani wazazi nitoe wito au rai kwenu huu mchezo ni muhimu sana kwa jamii yetu, acheni uzungu wa kuwapa watoto michezo ya playstation na kwenye simu.

Maana sisi ndio imetukuza na jana nimemuona mzazi akimchapa mwanawe kisa ameenda kucheza ukuti ukuti wa nani wa nani, kagongwa na gari, tumpeleke mnazi mmoja...

Leo nitaandaa mchezo wa kula mbakishie baba wale wa Arusha mkuje tuungane kuucheza ili michezo yetu ya kiafrika isipotee jamani! Na pia msiwafungie huko geti kali mnawaaribu kisaikolojia.
Acha ipoteetu wengine ndy michezo iliyo tufunza uhuni
 
Back
Top Bottom