kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Yaani hadi friend game mchezaji tegemeo anacheza dakik 90 vipi akiumia??Mechi ya Kirafiki
FT: SIMBA SC 3-0 KIPANGA
21’—[emoji460]️ Phiri
41’—[emoji460]️ Miquissone
70’—[emoji460]️ Kramo (freekick)
SIMBA kikosi X1:
Ally (Lakred), Kapombe (Duchu),
Zimbwe Jr (Israel), Che Malone, Henock (Mwanuke), Ngoma, Chama (Abdallah), Kanoute (Kapama), Phiri (Baleke), Miquissone (Kramo), Onana (Kazi).
Hongereni,mngefikisha 5 ingekuwa poa sanaMechi ya Kirafiki
FT: SIMBA SC 3-0 KIPANGA
21’—[emoji460]️ Phiri
41’—[emoji460]️ Miquissone
70’—[emoji460]️ Kramo (freekick)
SIMBA kikosi X1:
Ally (Lakred), Kapombe (Duchu),
Zimbwe Jr (Israel), Che Malone, Henock (Mwanuke), Ngoma, Chama (Abdallah), Kanoute (Kapama), Phiri (Baleke), Miquissone (Kramo), Onana (Kazi).
AahaaaaaYaani hadi friend game mchezaji tegemeo anacheza dakik 90 vipi akiumia??
Aaaahaaa,utafikiri wamechukua Ligi kuu
Haahaaa..usiposhukuru na kufurahia kidogo ni shidaAaaahaaa,utafikiri wamechukua Ligi kuu
Huwa mnaona kufunga goli 5 ni kazi rahisi, haya timu dhaifu hiyo mbona mmeshindwa kufunga goli 5?Sina mashaka na timu yangu
Unadhani kufunga goli 5 ni jambo rahisi?Hongereni,mngefikisha 5 ingekuwa poa sana
Kufunga 5 sio rahisiHuwa mnaona kufunga goli 5 ni kazi rahisi, haya timu dhaifu hiyo mbona mmeshindwa kufunga goli 5?
Unajificha kwenye historia, hapo Yanga hawakuwa na timu na kina Akilimali raha yao ilikuwa Yanga ifungwe.Kufunga 5 sio rahisi
View attachment 2736664