Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Leo hii unaonesha kuikataa historia wakati moja ya Motto yenu ni "mabingwa wa kihistoria"Unajificha kwenye historia, hapo Yanga hawakuwa na timu na kina Akilimali raha yao ilikuwa Yanga ifungwe.
Ukikataa historia umekataa ubingwa wa miaka ya nyuma ambao mmekuwa mkitamba nao.