Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Bado una amini hiyo source ni BBC kweli na sio manipulated?Tunakubaliana vipi ndugu ilihali hatukuwepo, historia yyte yenye vyanzo zaidi ya kimoja huenda ina kitu.
Labda BBC wana ushahidi either wa magazeti ya enzi hizo au nyaraka yyte.
Hata hivo mwaka 1938 sio mbali kivile maana wazee kama mzee mwinyi nadhani tayari alikua na akili timamu mwenye kukumbuka tukio kama hilo.