Mchezo wa kirafiki: Simba 3 VS Kipanga 0

Unajificha kwenye historia, hapo Yanga hawakuwa na timu na kina Akilimali raha yao ilikuwa Yanga ifungwe.
Leo hii unaonesha kuikataa historia wakati moja ya Motto yenu ni "mabingwa wa kihistoria"

Ukikataa historia umekataa ubingwa wa miaka ya nyuma ambao mmekuwa mkitamba nao.
 
Leo hii unaonesha kuikataa historia wakati moja ya Motto yenu ni "mabingwa wa kihistoria"

Ukikataa historia umekataa ubingwa wa miaka ya nyuma ambao mmekuwa mkitamba nao.
Tunajadiri current situation usijitowe akili, tano Yanga ilishaifunga Simba, hizo ni historia tunaangalia pira Brazil na pira Argentina nani kalamba dume?
 
Lini Yanga aliwahi kuifunga Simba goli 5?

Juni 1,1968- Yanga 5 Simba 0​

Yanga iliweka rekodi ya kuifunga magoli mengi Sunderland (Simba) Juni 1,1968 kwenye mchezo wa klabu bingwa ya nchi uliopigwa uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo huo Simba ilifungwa 5-0, magoli ya Yanga yalifungwa na Maulidi Dilunga kwa njia ya penalti (dk 18,43), Salehe Zimbwe (dk 54,89),Kitwana Manara (dk 86).
 
Inawezekana basi hujui historia za Simba na Yanga, Simba ilishafungwa na Yanga 5 bila na Yanga ilishafungwa na Simba 6 bila.

Kama hujui historia hii kumbe tunakaushana mate bure tu hapa na Watoto wadogo.
Hizo goli 6 nazijua ila hakuna goli 5 ambazo Yanga amewahi kuifunga Simba

Ni rekodi za kupikwa na mashabiki wa Yanga tu
 
Hii ni cooked data

Si umeitoa hapa sindio?
 
Umu kuna vijana hawajui chochote kuhusu historia ya vilabu wanavyo shabikia.
Yaani Simba kufungwa goli 5-0 na Yanga wanahisi ni stori ya kupikwa!!!
Tunasafari ndefu katika ushabiki wetu.
Mshauri uyo kijana aka muulize Baba yake[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
kramo kapona busha?
 
Inawezekana basi hujui historia za Simba na Yanga, Simba ilishafungwa na Yanga 5 bila na Yanga ilishafungwa na Simba 6 bila.

Kama hujui historia hii kumbe tunakaushana mate bure tu hapa na Watoto wadogo.
Mpuuze huyo mkuu,tuliwaambia kipindi kabla ligi haijaanza ikianza watakua wadogo na ndio ishaanza wasubirie kukonda
 
Wewe hata ukiambiwa Simba na Yanga ni timu moja huwezi kuamini kama unabishana na ukweli dhahiri.

Na utabisha hata takwimu za Simba kufunguwa Mara nyingi zaidi na Yanga.
Simba kufungwa mara nyingi sikatai

Ila mara nyingi kwa idadi ngapi ndio hoja

Tunafahamu nyie ni watu wa kutengeneza takwimu hewa
 
GENTAMYCINE Alishaongelea hili.
 
Hizo goli 6 nazijua ila hakuna goli 5 ambazo Yanga amewahi kuifunga Simba

Ni rekodi za kupikwa na mashabiki wa Yanga tu

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…