Mchezo wa kirafiki: Simba 3 VS Kipanga 0

Bado una amini hiyo source ni BBC kweli na sio manipulated?
 
Bado una amini hiyo source ni BBC kweli na sio manipulated?
Of course inawezekana wahuni wameingia maabara wametengeneza ila pia inawezekana ni BBC. Let's search truth.

Shida ya digital ni kwamba hata vizazi vijavyo watakuja kupinga historia ya leo wakidhani zimekua manipulated ukizingatia kua kipindi hicho watakua tayar na technology ya ku edit na kutengeneza video fake zenye mfanano na halisi.
 
Habari ya picha ni rahisi kuwa manipulated lakini sio video

Hakuna video ya mechi za miaka ya nyuma.

Lakini miaka hii zipo trusted site ambazo zinatunza rekodi. Hiyo ina maanisha kwamba hata picha itaamuliwa kuwa ni ya kweli au ya uongo kupitia source.

Lakini jambo lingine la ziada kama faida ni kuweza kutunza kumbukumbu kwa mfumo wa video.
 
Uko sahihi, kwa wakati huu video ni ngumu kutengeneza fake ila kama nilivyosema watakuja watu ambao watakua na technology wata challenge historia hii kwa kutengeneza fake na site videos kupotosha ukweli.

Na hata hizo sites ulizosema wahuni watazichallenge pia ikiwemo kuzihack na kufuta real videos. Yaan itakua vurugu mechi. Real vs fake, utaamua uamini zipi.

All in all matukio ya sasa yanapaswa yatunzwe kwa source mbalimbali ikiwemo magazeti ya sahivi, picha za hard copy, n.k ili kuepusha hizi sintofaham.
 
Kutengeneza video ni ngumu kwasababu characters watakuwa ni robotic wasio realistic.

Hata AI bado haiwezi kutengeneza video ya mtu halisia.

Imagine kama hilo litawezekana kwa miaka mingi ijayo basi Cost yake itakuwa kubwa ambayo sio rahisi mtu kuifanya for fun.

Na ufikirie wakati huo hiyo taarifa anayopigania kuipindisha tayari ipo kwenye vyanzo vya kuaminika ambavyo ni rasmi.
 
Uto na habari za Simba zinakuhusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…