Mchezo wa mashindano ya magari Tanzania (Rally)

qubic

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
57
Reaction score
19
Wkt mchezo wa magari tanzania ngazi ya kitaifa unaingia raundi ya sita inayotarajia kufanyika jijini arusha ili kumpata bingwa wataifa wa mchezo huo nakaribisha maswali yoyote yanayohusiana na mchezo huo na jinsi unavyoendeshwa karibuni.
 
Nitapata wapi DVDs ya hio michezo!
 
je ukitaka kushiriki katika ngazi za awali unafanyaje??
 
Cha kwanza kbsa unatakiwa kuwa na lesen ya kawaida ya udereva thn jiunge na club zilizopo ktk mikoa tofauti kwamfano arusha kuna amsc,dar kuna mmsc na dmsc,tanga kuna tmsc,kilimanjaro kuna kmsc ambapo kupitia club utajifunza sheria na taratibu za kutimiza ndoto zako karibu
 
Embu tukumbushe baadhi ya madereva wa magari waliowai kutingisha kwenye hii tasnia ya mashindano
.
 
okey okey
 
Madereva waliowai kutingisha kuna kina tosky hans wa arusha,collins higgins wa morogoro,gerald miller,kirit pandya,jayant shah,mzee lesirwa,lukumayi,humprey soka,hussein jettex,omar bakhressa,ahmed huwel,balbou,khalid bakhressa( r.i.p),navraj hans,randeep birdi,amarjit dhillon,pano,baba dee,twalib etc
 
Ni mambo gani yanaangaliwa wakat wa mashindano ilikumpata mshindi?

Kinachoangaliwa sana ni muda kwmb mnapewa njia na target time ya kumaliza kuipita so atakayetumia mda mchache kwny izo njia ambazo tuna ziita cs maana ya competitive section bas ndo mshindi
 
Madereva waliowai kutingisha kuna kina tosky hans wa arusha,collins higgins wa morogoro,gerald miller,kirit pandya,jayant shah,mzee lesirwa,lukumayi,humprey soka,hussein jettex,omar bakhressa,ahmed huwel,balbou,khalid bakhressa( r.i.p),navraj hans,randeep birdi,amarjit dhillon,pano,baba dee,twalib etc

Shukrani mkuu... umenikumbusha mbali sana maana nilikwisha wasahau hawa watu...kuna mkenya mmoja alitusumbua sana watanzania miaka ile 90's anaitwa patrick wanjiru sijui kama mnamkumbuka
 
Namkumbuka sna patrick wanjiru na pia kulikuwa na mtoto wa moi alikuwa anaitwa david torotoich arap moi
 
Vijana wako kazin
 
Attachments

  • 1413006125686.jpg
    1413006125686.jpg
    70.2 KB · Views: 329
  • 1413006298359.jpg
    1413006298359.jpg
    56.4 KB · Views: 230
Mshindi akishinda anapewa zawadi gani?je dereva akipata ajali akaumia na gari lake kuharibika nani anawajibika kumtibu dereva pia na kutengeneza gari lake?
 
Kutokana na kutokuwa na udhamin mkubwa kwny mchezo huu washind hupewa vikombe labda ikatokea mdhamin bas huwa wanapata hela,na ikitokea dereva akaumia wkt wa mchezo insurance ndo huwa ina mgharamia matibabu yake kwasababu huwez kuwa na leseni ya kuendesha haya magar bla kukata insurance na pindi itakapokea gar lmeharibika kama dereva ni self sponsered bas hulitengeneza gar lake mwnyw lkn kana ana udhamin bas kampuni husika ndo hutengeneza ilo gari
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri.je kwanzia umri gani wanaruhusiwa kushiriki na ni watanzania tu au n watu wote wanaruhusiwa?
 
Umri ni kuanzia miaka 18 imbayo inakuruhu kumiliki leseni lkn tunawaimiza madereva kuanza kuwajenga watoto wao mapema ili kupata madereva wenye ushindani bdae kuhusu ushiriki watu wote wanaruhusiwa kama haya mashindano yanayokuja kufanyika arusha tunategemea madereva kutoka kenya,uganda na zambia
 
Gerald miller dereva mzee tanzania lkn ananyanyasa damu mchanga kwa mbio zisizo na mfano
 
Attachments

  • 1413007321635.jpg
    1413007321635.jpg
    38.7 KB · Views: 257
Umri ni kuanzia miaka 18 imbayo inakuruhu kumiliki leseni lkn tunawaimiza madereva kuanza kuwajenga watoto wao mapema ili kupata madereva wenye ushindani bdae kuhusu ushiriki watu wote wanaruhusiwa kama haya mashindano yanayokuja kufanyika arusha tunategemea madereva kutoka kenya,uganda na zambia

Asante mkuu
 
Dharam pandya bingwa wa mbio hizi mwaka 2012 akiwa na gar yake ya kisasa aina ya mitsubishi evolution 9 aliyopewa kama udhamin na kampuni ya puma energy
 
Attachments

  • 1413007565715.jpg
    1413007565715.jpg
    59.2 KB · Views: 228
Back
Top Bottom