- Simu zenye akili kuliko watumiaji wake.
- Mitandao ya kijamii yenye ushawishi kuliko wazazi, walimu, au viongozi wa dini.
- Maarifa mengi, lakini hekima haba.
- Simu zenye akili kuliko watumiaji wake.
- Mitandao ya kijamii yenye ushawishi kuliko wazazi, walimu, au viongozi wa dini.
- Maarifa mengi, lakini hekima haba.
Absolutely 💯 tena sio jela bali ni cancer kabisa inatishaMitandao ya kijamii ni jela.
Mtoto anaweza kua na maadili, tabia njema ila akipata simu tu mambo hubadilika, tabia hubadilika pia.
Na ubaya ni kua wazazi/walezi wengi wa kibongo hawafatilii kabisa hayo matumizi ya simu kwa hao watoto wao, hawazicontrol kabisa hizo simu za watoto.