Mitandao ya kijamii ni jela.
Mtoto anaweza kua na maadili, tabia njema ila akipata simu tu mambo hubadilika, tabia hubadilika pia.
Na ubaya ni kua wazazi/walezi wengi wa kibongo hawafatilii kabisa hayo matumizi ya simu kwa hao watoto wao, hawazicontrol kabisa hizo simu za watoto.