Mchezo wa sabuni unanitafuna taratibu, naomba msaada niache

Usipende kukaa peke yako.

Jiweke Karibu na Mungu

Oa.
 
Pole sana. Wengi tumepita huko pia. Ila jitahidi kuwa busy kiasi cha kuchoka sana, epuka kukaa peke yako muda mrefu bila kazi. Epuka kukaa mazingira yaliyokuwa yanakushawishi kupiga puchu, tafuta mwenza wako ambaye atakuhudumia muda ukihisi kuwaka.

Puchu ni salama lakini sio nzuri sana madhara yake ni muda mrefu mfano kutoona thamani ya mwanamke/mwenza, kupoteza kumbukumu, kujilaumu laumu kila unapomaliza tukio, hasira za mara kwa mara, kukosa ujasiri na mixed feelings sometimes ukiwa na mwenza wako yaani ile kujiuliza kama umepiga miti ya kutosha au umemuacha njiani na kujiuliza maswali yasiyo na majibu like nisingekuwa napiga puchu ningekuwaje au wengine ambao hawafanyi hii kitu wakoje n.k

Yote katika yote... ichukulie kama dhambi (kama unahofu ya Mungu) binafsi nilianza kuona kwa kupiga puchu najinajisi hivyo najizibia riziki, nikaanza kujipenda kwa kuacha hiyo dhambi. Sasa hivi hata nione porn siwazi puchu kabisa😃.

Haya ni mawazo yangu, sio ya kitaalamu. Naomba nisinukuliwe vibaya.
 
Ulifanya kwa mda gani na jee, una mtoto.. mm hofu yangu kubwa ninkukosa mtoto
 
Mlemavu 😂
 
Kwann unataka kuacha na Jarida la FEMA linekujulisha hakuna madhara
 
Mkuu mimi na wewe hatuna tofauti. Nimejaribu sana kuacha ila badooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake wote wazuri nishawala kwenye nyeto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…