Mchezo wa sabuni unanitafuna taratibu, naomba msaada niache

Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda ule ule usiku nikiwa peke yangu nikafanya tena na ndo ikawa mchezo wangu.

Baadaye nikiwa shule boading, pale Moshitech Sec niliwahi kukutana na jarida la FEMA, lilielezea kuwa punyeto/Masturbation kuwa haia madhara yoyote, baada ya kusoma hilo jarida basi niliongeza kasi ya kufanya.

Sasa imefikia mahali nisipo fanya hiyo kitu siwezi kulala, pia nishakuwa kwenye mahusiano sana, Ila ninapokuwa peke yangu huwa nafungua macho navuta picha ya wanawake nilio chapa huku nikifanya Masturbation, hata nikiwa kwenye mizagamuano nakuwa bao la pili nalitafuta kwa kuvuta kumbukumbu ya picha za x na pisi Kali zingine ili nieze pata bao.

Yaani hapa nilipofikia kwisha habari yangu, napambana sana kuacha Ila kila njia nayotafuta kuacha nafeli, wakuu JF nahitaji msaada wenu naachaje Masturbation.
Pole sana jiweke bize katika kusoma vitabu na epuka kutazama picha za uchi pia jihusishe pamoja na watu wenye mitazamo chanya.
 
Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda ule ule usiku nikiwa peke yangu nikafanya tena na ndo ikawa mchezo wangu.

Baadaye nikiwa shule boading, pale Moshitech Sec niliwahi kukutana na jarida la FEMA, lilielezea kuwa punyeto/Masturbation kuwa haia madhara yoyote, baada ya kusoma hilo jarida basi niliongeza kasi ya kufanya.

Sasa imefikia mahali nisipo fanya hiyo kitu siwezi kulala, pia nishakuwa kwenye mahusiano sana, Ila ninapokuwa peke yangu huwa nafungua macho navuta picha ya wanawake nilio chapa huku nikifanya Masturbation, hata nikiwa kwenye mizagamuano nakuwa bao la pili nalitafuta kwa kuvuta kumbukumbu ya picha za x na pisi Kali zingine ili nieze pata bao.

Yaani hapa nilipofikia kwisha habari yangu, napambana sana kuacha Ila kila njia nayotafuta kuacha nafeli, wakuu JF nahitaji msaada wenu naachaje Masturbation.
Brother 0763058704 chukua namba yangu.
kuna program maalum nitakupa ya kuacha nyeto na yapo inform of mazoez ambayo Yatalenga kukuza na kurefusha uume wako na kusuluhisha tatizo lako la nyeto
Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda ule ule usiku nikiwa peke yangu nikafanya tena na ndo ikawa mchezo wangu.

Baadaye nikiwa shule boading, pale Moshitech Sec niliwahi kukutana na jarida la FEMA, lilielezea kuwa punyeto/Masturbation kuwa haia madhara yoyote, baada ya kusoma hilo jarida basi niliongeza kasi ya kufanya.

Sasa imefikia mahali nisipo fanya hiyo kitu siwezi kulala, pia nishakuwa kwenye mahusiano sana, Ila ninapokuwa peke yangu huwa nafungua macho navuta picha ya wanawake nilio chapa huku nikifanya Masturbation, hata nikiwa kwenye mizagamuano nakuwa bao la pili nalitafuta kwa kuvuta kumbukumbu ya picha za x na pisi Kali zingine ili nieze pata bao.

Yaani hapa nilipofikia kwisha habari yangu, napambana sana kuacha Ila kila njia nayotafuta kuacha nafeli, wakuu JF nahitaji msaada wenu naachaje Masturbation.
Kuna program maalum zilizo kaa inform of mazoez yenye lengo la kukuza,kurefusha,na kunenepesha uume wako na pia kuna suluhishoa tatizo sugu la nyeto kwa mawasiliano zaidi piga namba 0763058704
 
Zawadi kubwa ambayo unaweza kumpatia Mwanamke mzuri ni kumfikisha kileleni, yeye kwanza kabla yako. Akishafika kileleni mwanamke ndipo wewe Mwanaume unatakiwa ufuate. Ila unapowahi wewe mwanaume kufika haraka kileleni, kwanza lazima ujiskie aibu, pili unakua umemchafua tu Mwanamke wala hakuna ulichofanya amekula hela zako za bure, hizo hela bora ungepata dozi tu ya virutubisho. USIJIDANGANYE SHABABI KUBADILISHA WANAWAKE WAKATI MWENYEWE TATIZO LAKO UNALIJUA.Nakushauri uanze dozi
Dozi ya nini tena, nyie wafanyabiashara? Yeye anataka kuacha punyeto, wew unasema dozi?

Kwan hivyo virutubisho hawezi vipata kwenye chakula?
 
67a6045229d01196ae48b633a6d83ba9.jpg
 
Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda ule ule usiku nikiwa peke yangu nikafanya tena na ndo ikawa mchezo wangu.

Baadaye nikiwa shule boading, pale Moshitech Sec niliwahi kukutana na jarida la FEMA, lilielezea kuwa punyeto/Masturbation kuwa haia madhara yoyote, baada ya kusoma hilo jarida basi niliongeza kasi ya kufanya.

Sasa imefikia mahali nisipo fanya hiyo kitu siwezi kulala, pia nishakuwa kwenye mahusiano sana, Ila ninapokuwa peke yangu huwa nafungua macho navuta picha ya wanawake nilio chapa huku nikifanya Masturbation, hata nikiwa kwenye mizagamuano nakuwa bao la pili nalitafuta kwa kuvuta kumbukumbu ya picha za x na pisi Kali zingine ili nieze pata bao.

Yaani hapa nilipofikia kwisha habari yangu, napambana sana kuacha Ila kila njia nayotafuta kuacha nafeli, wakuu JF nahitaji msaada wenu naachaje Masturbation.
Endelea mkuu, tena ongeza bidii, humu kuna CEO wenu aitwa dronedrake
 
Binafsi nilikuw na tabia kama hiyo, nilisha jaribu sana kuacha ila wapi ila ilifikia cku moja 2 nimechoka toka ndani ya roho yangu na nafsi yangu. Mpaka leo sijawai kufanya tena na nina Muomba Mungu anilinde na hiyo tabia. Haijalishi jambo hilo lina faida ama halina, ukishaona roho yako inakuambia jambo hilo siozuri utaacha tu ila ukiweka bidii na kuomba Mungu akusaidie kutoka, utatoka
 
Back
Top Bottom