Mpira umechezwa mpaka dakika za juuUlisema NALIA NGWENA yametokea sasa
Niliongea wakaniona mpumbavuHatimaye yametimia
Yametimia yaliyopangwa Singida fountain Gate wamehujumiwa.Mleta uzi una akili sana. Uliyasema haya…!!
Mkuu wewe ni mtabiri wa kweli, saluteKutokana na kutumika nguvu kubwa na Figisu ili mradi tu lastborn wa TFF achukue kombe/au kuanza vizuri msimu ili arudishe unafuu na Imani kwa mashabiki zake.
Muundo wa timu nne na kuichezesha Yanga na Azam huku kukiwa na imani kubwa kuwa Yanga atapigwa lakini imekuwa ndivyo sivyo, kipigo kitakatifu kimemkuta Azam Fc.
Limeibuka kundi la wahuni/mashabiki wa Simba sc wanaanza kuilaumu Azam na kuikejeli huku wakisahau kuwa Azam Fc kakutana na bingwa aliyecheza fainali ya shirikikisho, hapo hapo wakasahu kuwa Yanga sc ndiyo bingwa mtetezi wa ngao ya jamii, kombe la Nbcpl na FA.
Kiufupi Azam Fc asilaumiwe kwa kuwa kakutana na Bingwa Hilo halina ubishi na anastahili sifa kwa uwezo aliounesha wa kupunguza magoli.
Achana na Goli la Aziz key, Wala usiulize kuhusu Clement mzize mtoto aliyepata baraka pale ikulu kutoka kwa Mh Raisi Samia suluhu kwa kutambulishwa.
Mchezo wa Singida fountain Gate na Simba leo wachezaji wa Singida watapewa kadi za njano nyingi mpaka kupelekea kadi nyekundu ili mradi tu Simba sc afike fainali.
Nawasilisha hoja.
Kweli kabisa aiseePia marefa wa kike na refa aliyechezesha juzi Simba na power dynamo sio wa kuchezesha mechi zinazohusisha Simba Au yanga.
Huyo onana na kibu Denis hakuna kitu.Simba Hamna kitu nimeamini
Niliongea mwanzo wakaleta kejeli lakini mpira wameona Hali halisiMkuu wewe ni mtabiri wa kweli, salute
Kweli kabisa upo sahihirushwa rushwa it am terrible
Walitengeneza mazingira toka mwanzo kabisa.rushwa rushwa it am terrible
Nafikiri umeangalia mpira mbumbumbu [emoji41]acheni uoga vyuraaa!!!!
Mmekuja kwa magumashi kuunga unga nakulipa marefaTupo nyuma yenu tunakuja
Nadhani mmeona timu gani inayohonga marefa.Sasa si ndio safi ili Yanga mkutane na timu dhaifu iliyobebwa?
Wamekuja kwa kuhonga marefa.Mashabiki Lia Lia Wa mikundu ya msimbazi wanaitaka fainali [emoji38][emoji38][emoji38]
Hicho kikosi chenu mmekiona??Yaani utopolo wanapenda sana kujimwambafai!!
Kama umetizama mpira utakua umenielewaBongo raha sana
Simba wakishinda watakuwa wamebebwa
Wakishindwa ni Simba mbovu
Alieanzisha Simba na yanga Ana akili sana
Haya tayari mechi imechezwa nadhani mmeonaUoga unaonekana dhahiri. Kwa nini unazungumzia kuhusu ushindi wa Simba wakati mechi haijachezwa?
Wewe ndiyo umejamba nadhani umeona Nini kinaendeleaWacha kujampa hovyo uto, kaa kwa kutulia, mzee wa nyika anakuja.