Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya timu lenu la kuunga unga kwa super glue mmeliona.Kelele zimeshakuwa nyingi hapa mjini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakina tofauti na kile kilichowafunga gongowazi mbili bila!!Hicho kikosi chenu mmekiona??
Refa kapewa pesa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nyinyi mliohonga marefa mmeona Nini mmecheza dakika ya 96Wote wamecheza kiwango cha chini, yeyote ambaye angeshinda angekuja kupoteza kwa Simba, labda kama kuna kikosi kingine cha kizuri zaidi ya vilivyocheza
Lakini si kimeunganika!!Haya timu lenu la kuunga unga kwa super glue mmeliona.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aisee Singida fountain Gate wamezurumiwa goliLakini si kimeunganika!!
Wewe unaweza kubandua kitu kilichounganishwa Kwa Super Glue??
,😏😏😏😏Aisee Singida fountain Gate wamezurumiwa goli
Refa wa mchongo
Bongo kweli nyoso.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa aliyeaanglia mpira hawezi kubisha kabisa.Uliusema ukweli na ukweli umeonekana
Mpira umeuona nafikiri Hilo halina ubishi Kama ni shabiki wa mpira,[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Refa alikuwa position hasi!!Mpira umeuona nafikiri Hilo halina ubishi Kama ni shabiki wa mpira
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uliona mbali sana mkuuKutokana na kutumika nguvu kubwa na Figisu ili mradi tu lastborn wa TFF achukue kombe/au kuanza vizuri msimu ili arudishe unafuu na Imani kwa mashabiki zake.
Muundo wa timu nne na kuichezesha Yanga na Azam huku kukiwa na imani kubwa kuwa Yanga atapigwa lakini imekuwa ndivyo sivyo, kipigo kitakatifu kimemkuta Azam Fc.
Limeibuka kundi la wahuni/mashabiki wa Simba sc wanaanza kuilaumu Azam na kuikejeli huku wakisahau kuwa Azam Fc kakutana na bingwa aliyecheza fainali ya shirikikisho, hapo hapo wakasahu kuwa Yanga sc ndiyo bingwa mtetezi wa ngao ya jamii, kombe la Nbcpl na FA.
Kiufupi Azam Fc asilaumiwe kwa kuwa kakutana na Bingwa Hilo halina ubishi na anastahili sifa kwa uwezo aliounesha wa kupunguza magoli.
Achana na Goli la Aziz key, Wala usiulize kuhusu Clement mzize mtoto aliyepata baraka pale ikulu kutoka kwa Mh Raisi Samia suluhu kwa kutambulishwa.
Mchezo wa Singida fountain Gate na Simba leo wachezaji wa Singida watapewa kadi za njano nyingi mpaka kupelekea kadi nyekundu ili mradi tu Simba sc afike fainali.
Nawasilisha hoja.
Yaani aibu niliona mimiRefa alikuwa position hasi!!
Kweli alikosea.Yaani aibu niliona mimi
Malone alimpiga kiwiko yule jamaa Tcheki sijui ila refa kapeta kabisa njoo kwa saido sasa akiguswa tu analalamika then refa anatoa njanoKweli alikosea.
Niliwaacha muangalie mpira mje kwenye huu Uzi ushindi wa Simba ni wa kuunga unga tu.Uliona mbali sana mkuu
Pale ilikua inatafutwa nyekundu.Malone alimpiga kiwiko yule jamaa Tcheki sijui ila refa kapeta kabisa njoo kwa saido sasa akiguswa tu analalamika then refa anatoa njano
Sasa furaha ipo wapi kwa mashabiki wa Simba sc kwa mpira gani huo.Yaani aibu niliona mimi