NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #81
Acha kuteseka, mara ya mwisho mlipigwa 2-0Nadhani mmeona timu gani inayohonga marefa.
Mimi nadhani Yanga itakuwa ilijiandaa kukutana na yeyote kati ya Simba au Singida. Sasa sijajua huu uoga wa kuikataa Simba unaanzia wapiNyinyi mliohonga marefa mmeona Nini mmecheza dakika ya 96
Tayari. Jiandae na 2-0 nyingine kama uliyopigwaHaya ipigeni Singida mje kukutana na Yanga.
Endeleeni kulipa marefa.Acha kuteseka, mara ya mwisho mlipigwa 2-0
Unafikiri kila siku ijumaa subiri jumapiliTayari. Jiandae na 2-0 nyingine kama uliyopigwa
Kama mpira wa leo umetazama huwezi kubisha nilichokiongea hapo juu.Mimi nadhani Yanga itakuwa ilijiandaa kukutana na yeyote kati ya Simba au Singida. Sasa sijajua huu uoga wa kuikataa Simba unaanzia wapi
Soma andiko vizuri Kisha uje kukomentHuo ni woga tayari umewajaa . Nahisi pale mlipo tayari vinyesi vimejaa kwenye nguo zenu za ndani.
Mwaka huu Karia na TFF yake watapata tabu Sana Maana Malalamiko yameanza mapema mno
Tutaendelea, 3B yote ilienda kwenye usajili, ila haijasemwa ni wa wachezaji tu au na marefaEndeleeni kulipa marefa.
YameshaishaMwaka huu Karia na TFF yake watapata tabu Sana Maana Malalamiko yameanza mapema mno
Dah, ndivyo ilivyotokeaKutokana na kutumika nguvu kubwa na Figisu ili mradi tu lastborn wa TFF achukue kombe/au kuanza vizuri msimu ili arudishe unafuu na Imani kwa mashabiki zake.
Muundo wa timu nne na kuichezesha Yanga na Azam huku kukiwa na imani kubwa kuwa Yanga atapigwa lakini imekuwa ndivyo sivyo, kipigo kitakatifu kimemkuta Azam Fc.
Limeibuka kundi la wahuni/mashabiki wa Simba sc wanaanza kuilaumu Azam na kuikejeli huku wakisahau kuwa Azam Fc kakutana na bingwa aliyecheza fainali ya shirikikisho, hapo hapo wakasahu kuwa Yanga sc ndiyo bingwa mtetezi wa ngao ya jamii, kombe la Nbcpl na FA.
Kiufupi Azam Fc asilaumiwe kwa kuwa kakutana na Bingwa Hilo halina ubishi na anastahili sifa kwa uwezo aliounesha wa kupunguza magoli.
Achana na Goli la Aziz key, Wala usiulize kuhusu Clement mzize mtoto aliyepata baraka pale ikulu kutoka kwa Mh Raisi Samia suluhu kwa kutambulishwa.
Mchezo wa Singida fountain Gate na Simba leo wachezaji wa Singida watapewa kadi za njano nyingi mpaka kupelekea kadi nyekundu ili mradi tu Simba sc afike fainali.
Nawasilisha hoja.
Huyu jamaa Leo alikuwa anarukaruka tu..
Kuna mashabiki mbumbumbu toka ukoloni bado wanabisha.Dah, ndivyo ilivyotokea
Tuikatae kwa upuuzi ule wanaoucheza?Mimi nadhani Yanga itakuwa ilijiandaa kukutana na yeyote kati ya Simba au Singida. Sasa sijajua huu uoga wa kuikataa Simba unaanzia wapi
Bado Kuna makolo wanabisha maana mpira walisikiliza kwenye redio.Mkuu,, yametimia... Huna baya wa mbambamba